Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, diesel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

Malawi na Zambia. Wanaopitisha kwetu bei iko chini. Kuliko sisi lakn mifano hutolewa ya nchi zenye Harufu Harufu ile ile!!
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Africa Mashariki Kenya bei juu |Hongera Rais Samia,
________________________________

Wakati baadhi ya Watanzani wasiofuatilia mambo wamekuwa wakiilalamikia Serikali ya awamu ya Sita inayoongoza na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imepandisha bei ya Mafuta ya taa, dizeli na Petroli jambo ambalo ni sawa na wao kukosa fadhili juu ya juhudi kubwa na nzuri anazozifanya rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea unafuu wa Maisha wananchi wake kwani Mama anajua nishati ya mafuta ndio karibu kila kitu kwa maisha ya mnyonge wa chini,

Wakati wenzetu wa Rwanda, Burundi, Congo, Uganda, Kenya wakiimezea mate bei ya mafuta ya Tanzania Sisi Watanzani tunashindwa kuthamini na kutambua mchango wa Rais wetu katika kudhibiti bei ya nishati ya Mafuta nchini,Hii si sawa kabisa,

Jarida maarufu Africa la "STAR " limeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya chini kabisa kwa bei ya mafuta ya taa, dizeli na Petroli ukilinganisha na bei za nchi nyingine za EAC hivi majuzi,

Kwamsiofahamu,Bei ya Petroli Kenya ni Ksh 134.72 sawa na Tshs 2,831,Wakati Uganda ni Ksh 131 sawa na Tshs 2,751,Rwanda ni Ksh 121.08 sawa na Tshs 2,540, Wakati Tanzania bei ya Petroli ni Ksh 115.26 sawa na Tshs 2,421 kwenye Pump,

Wakati huohuo bei ya dizeli nchini Kenya ni Ksh 117.28 sawa Tshs 2,463,Uganda ni Ksh 115.60 sawa na Tshs 2,428 huku Rwanda bei ya dizeli ikifikia Ksh 110 karibu Sawa na Tshs 2.310 Wakati Tanzania bei ya dizeli imefikia Ksh 106.90 sawa na Tshs 2,245 tu,Tuendelee kumwombea rais wetu kipenzi cha wengi Mama Samia Suluhu Hassan,

.........Kazi iendelee .........

______________________________

Kenyans are paying up to Sh19 more for a litre of petrol compared to their East African neighbours of Tanzania, Uganda and Rwanda as heavy taxation takes a toll on consumers.

Motorists and transporters are paying more than double what their counterparts in Addis Ababa are paying, where a litre of petrol and diesel are retailing at an equivalent of Sh51.28 and Sh44.66, respectively.

In Uganda, which imports part of its fuel through the Port of Mombasa, a litre of super petrol is retailing at Sh131 which is lower compared to Kenya's Sh134.72.

A litre of diesel in the neighbouring country is slightly higher, by Sh2, retailing at Sh117.28 compared to Sh115.60, despite the products going through Kenya into the landlocked country.

In Dar es Salaam, a litre of super petrol is retailing at Sh115.26, which is Sh19.46 less than that of Nairobi.

Diesel is going for Sh106.90 while kerosene is retailing at Sh103.34, compared to Nairobi's pump price of Sh110.82.

A litre of petrol and diesel in Kigali(Rwanda) is Sh121.08 and Sh110, respectively, despite being a land-locked country importing through Tanzania and Kenya.

On Tuesday, fuel prices in Kenya hit a historic high after prices of petrol, diesel and kerosene increasing by Sh7.58, Sh7.94 and Sh12.97, respectively.

“The prices are inclusive of the eight per cent Value Added Tax in line with the Finance Act 2018, the Tax Act 2018, the Tax Laws(Amendment) Act 2020 and the revised rates for excise duty adjustment for inflation,” EPRA director general Daniel Kiptoo said.

The increase came despite lower global crude prices in August which averaged $70.75 a barrel, down from $75.17 in July, and a drop in the landed cost of fuel at the Port of Mombasa.

Consumers in the country pay at least nine different taxes on fuel products which constitute the biggest share of final pump prices.

They include excise duty which takes the lion's share of Sh21.95 of every litre of petrol followed by the Road Maintenance Levy (Sh18).

VAT has been adjusted upwards to Sh9.98 while the Petroleum Development levy is charged at Sh5.40.
Other levies included in the fuel pricing are Petroleum Regulatory Levy, Railway Development Levy, Anti-adulteration Levy, Merchant Shipping Levy and the Import Declaration Fee.

The high fuel prices are expected to increase the cost of living in the country, where inflation has been rising since April, hitting an 18-month high of 6.57 in August.

Manufacturers and transporters have since warned of a jump in the cost of goods and services as they move to pass the high operational costs, occasioned by the fuel price jump, to the consumers.

Agricultural products are also expected to become costlier as diesel is a key input in production, mainly in large scale farming where machinery is used.

A number of other taxes introduced by the Finance Act 2021 are also expected to impact the cost of production in the country, affecting the prices of finished goods in the retail market.

The Consumers Federation of Kenya (COFEK) has since called on the President to request parliament to review the Finance Act.

“We need to ease the cost of living especially by dropping added taxes on cooking gas, fuel and essentials foodstuffs,” Secretary-General Stephen Mutoro said.

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANI VIVA

Asante sana kwa kutuhabarisha.Unatupa mambo mengi tusioyajuwa.Najivunia kuwa mtanzania.
 
Wewe unafahamu inflation rate ya Kenya ni ngapi na Tanzania ni ngapi?
Inflation rate ya Tanzania NI YA UONGO SANA. Ww fikiria tu mwaka uliopita gesi ndogo ilikuwa shs 17,000 sasa ni 25,000. Mafuya ya kupikia yametoka 12,000 kwenda 19,000. Tozo nyingine zilikuwa 1500 zikaenda karibu 4500, kabla ya kushusha ile 30%. Gypsum board zilikuwa 11000 sasa ni 17,000. Simenti ilikuwa 14,000 sasa ni 18000. Mabati. Vyuma. Kwa hio watu msio na deep thinking ndio mnaambiwa hakuna mfumuko wa bei sababu inflation rate iko chini.. halafu mnaamini kama ambavyo mliambiwa uchaguzi ww 2020 ulikuwa wa haki kabisa na mkaamini.
 
Wazee wa kuPRAISE.. sisi hatujilinganishi na mtu tunaangalia tulipotoka na tulipo, sijui unaelewa, toka diesel buku mia 7 mpaka buku mbilii na ushehe, kama graph ni tunapanda tu, uunadhani hatutofika huko kwa Wakenya unadhanni hatutopita zaaidi ya hapo, atleast hiyo bei ingekuwa imepungua toka 2600 hiv kuja hapo tunggefurahia Sababu ni dalili nzuri, tola wese limeanza kupanda ni mwendo wa kupanda tu..

Hilo moja, pia mbona umetutajia nchi za kenya, Uganda na Rwanda tu kwani Burundi haipo Afrika Mashariki?

Burundi bei ni zaidi ya ile ya Kenya,

Mafuta yanapanda kwenye soko la dunia,

Tanzania hatuchimbi Mafuta,

Kenya hawachimbi mafuta

Uganda hawachimbi mafuta

Rwanda hawachimbi mafuta

Burundi hawachimbi mafuta

Sote hatuchimbi mafuta,

Kwanini sisi bei yetu ni chini kuliko wengine? Jibu likusaidie kuona nia njema ya viongozi wa Tanzania hasa Rais Samia,
 
Wakenya hawalalamiki?

Unaota wewe
Hawalalamiki kwa level ya WaTz aisee. Mwezi uliopita nilikuwa Kenya wiki 2 na nusu na kuna tofauti kubwa sana ya watu wanavyochukulia maisha Kenya na Tanzania. Tatizo nyie mnapata habari za magazeti wakati watu tumeishi kabisa kujua first hand information.
 
Hujajibu hoja kwanini tusifie bei kuwa chini kwetu, je kabla yake bei yetu ilikuwa juu zaidi ya majirani zetu, kama siku zote bei yetu ni chini kuliko wenzettu kwanini tuanze kupiga kelele kusifu.. Hilo moja,

Kutokuwa tunachimba mafuta ni hoja dhaifu, serikali yako imechukua hatua gani kupunguza gharama za mafuta, kwangu wese na umeme vikiwa juu bidhaa na huduma mbalimbali lazima ziwe Juu, tuna gesi hapa ambayo tunaweza itumia kupata hivyo vyoote, serikali yako imechukua hatua gani?

Pili weka bei za Zambia, congo na burundi kama ulivyoweka za jirani wengine
 
SHIDA YAKO KUMSHUSHA RAIS SAMIA,

HIZI HAPA INFLATION RATE,

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

  • Tanzania’s annual inflation averaged 3.6 percent compared to Kenya’ 4.4 percent and Uganda’s 4.3 percent, according to data from the National Bureau of Statistics (NBS).

Inflation rate ya Tanzania NI YA UONGO SANA. Ww fikiria tu mwaka uliopita gesi ndogo ilikuwa shs 17,000 sasa ni 25,000. Mafuya ya kupikia yametoka 12,000 kwenda 19,000. Tozo nyingine zilikuwa 1500 zikaenda karibu 4500, kabla ya kushusha ile 30%. Gypsum board zilikuwa 11000 sasa ni 17,000. Simenti ilikuwa 14,000 sasa ni 18000. Mabati. Vyuma. Kwa hio watu msio na deep thinking ndio mnaambiwa hakuna mfumuko wa bei sababu inflation rate iko chini.. halafu mnaamini kama ambavyo mliambiwa uchaguzi ww 2020 ulikuwa wa haki kabisa na mkaamini.Unhe

Inflation rate ya Tanzania NI YA UONGO SANA. Ww fikiria tu mwaka uliopita gesi ndogo ilikuwa shs 17,000 sasa ni 25,000. Mafuya ya kupikia yametoka 12,000 kwenda 19,000. Tozo nyingine zilikuwa 1500 zikaenda karibu 4500, kabla ya kushusha ile 30%. Gypsum board zilikuwa 11000 sasa ni 17,000. Simenti ilikuwa 14,000 sasa ni 18000. Mabati. Vyuma. Kwa hio watu msio na deep thinking ndio mnaambiwa hakuna mfumuko wa bei sababu inflation rate iko chini.. halafu mnaamini kama ambavyo mliambiwa uchaguzi ww 2020 ulikuwa wa haki kabisa na mkaamini.

Inflation rate ya Tanzania NI YA UONGO SANA. Ww fikiria tu mwaka uliopita gesi ndogo ilikuwa shs 17,000 sasa ni 25,000. Mafuya ya kupikia yametoka 12,000 kwenda 19,000. Tozo nyingine zilikuwa 1500 zikaenda karibu 4500, kabla ya kushusha ile 30%. Gypsum board zilikuwa 11000 sasa ni 17,000. Simenti ilikuwa 14,000 sasa ni 18000. Mabati. Vyuma. Kwa hio watu msio na deep thinking ndio mnaambiwa hakuna mfumuko wa bei sababu inflation rate iko chini.. halafu mnaamini kama ambavyo mliambiwa uchaguzi ww 2020 ulikuwa wa haki kabisa na mkaamini.
 
Hujajibu hoja kwanini tusifie bei kuwa chini kwetu, je kabla yake bei yetu ilikuwa juu zaidi ya majirani zetu, kama siku zote bei yetu ni chini kuliko wenzettu kwanini tuanze kupiga kelele kusifu.. Hilo moja,

Kutokuwa tunachimba mafuta ni hoja dhaifu, serikali yako imechukua hatua gani kupunguza gharama za mafuta, kwangu wese na umeme vikiwa juu bidhaa na huduma mbalimbali lazima ziwe Juu, tuna gesi hapa ambayo tunaweza itumia kupata hivyo vyoote, serikali yako imechukua hatua gani?

Pili weka bei za Zambia, congo na burundi kama ulivyoweka za jirani wengine
Soma vizuri, nimekwambia bei zimepanda pia kwenye soko La dunia,

Unataka mfuta yauzwe 1,700 tutayatoa wapi?

Kuhusu hizo nchi leo nazungumzia EAC,
 
Wakenya wananunua Mafuta Namanga kwa kukwepa bei kubwa Kenya,

HILI NALO HUJUI?

Unataka walalamikeje?

Hawalalamiki kwa level ya WaTz aisee. Mwezi uliopita nilikuwa Kenya wiki 2 na nusu na kuna tofauti kubwa sana ya watu wanavyochukulia maisha Kenya na Tanzania. Tatizo nyie mnapata habari za magazeti wakati watu tumeishi kabisa kujua first hand information.
 
Point ya kijinga kuhusu kulalamika. Who cares? Halafu unaongelea wakenya wa border town? Point ni kwamba usisifie Tz wakati hali ni mbaya. Na Rais Samia anaongozwa na wakina Majaliwa na Mwigulu. Wala mimi yeye simlaumu sana. NA WW UTAKUWA DIWANI WA CCM WW. UNATETEA UGALI WAKO. KWENDAAAA!!!
Wakenya wananunua Mafuta Namanga kwa kukwepa bei kubwa Kenya,

HILI NALO HUJUI?

Unataka walalamikeje?
 
Mpiga zumari naujua uchumi kweli au unausikia? Unajua maana ya purchsing power parity? Tusipokufundisha Siku nyingine unaweza kuja na title ya Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya kunyoa nywele Duniani ukilinganisha na Marekani.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom