Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,610
2,000
Migori, Kenya


Bei ya mafuta Tanzania yasababisha wakaazi wa maeneo ya Migori-Isebania Kenya kuingia barabarani

 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,504
2,000
Bajeti ya 2020/2021 ya Tanzania ni zaidi ya 33t ambapo pesa ya matumizi ya kawaida ni zaidi ya 20t na pesa kwa ajili ya maendeleo ni zaidi ya 13t. Sasa kwa bajeti hiyo ambayo pesa ya matumizi ya kawaida ni karibu 80% ya bajeti na 20% ndio ya miradi ya maendeleo hapo kuna nini. Kiuhalisia watanzania hawakatai hizo Kodi au posho ila kinachoumiza ni pesa nyingi zinaenda kwenye mambo yasiomgusa mwananchi moja kwa moja(maendeleo) halafu bado wanawaongezea mzigo mwingine ndio maana karibu miaka yote ya uhuru tunapambana na changamoto zilezile
Mkuu kwa Nchi zinazoendelea kama yetu bajeti ya utawala lazima iwe kubwa,halafu utawala wenyewe sehemu ya hizo pesa zinagharamia elimu,afya,maji nk hivi vitu ni investment kwenye social services return yake ni indirect .

Kwa hiyo usidhani hiyo 20 T yote inaingia kwenye salary ,posho na vitu kama hivyo .
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,504
2,000
Watu wazima kama wewe wanalalamika wana sababu

Usijifanye wewe ndio mtu mzima zaidi ya watu wote unawaona watoto wadogo ni wa kupiga nyundo

Huna tofauti nao,infact upo kwenye low IQ percentile zaidi yao

Uongozi sio obvious questions unavamia tu ndio maana ulifeli mitihani yote shule upo humu unaongea umatako wa kupiga wanadamu watu wazima wenzio nyundo as if wewe una wisdom zaidi yao

Matatizo ya jamii sio ya kurukia na ku-solve kirahisi hivyo kwa kupiga nyundo ndio maana mlivamia mitihani wakati unasoma ukafeli yote kabisa

Hawa ni human beings,wanalalamika wana sababu,kupiga nyundo kapige wanao na mkeo huko nyumbani kwako ambapo infact huna lolote ni miserable zaidi ya wananchi wengi tu

Na kufananisha nchi zingine na TZ ni kosa,kila nchi ina economic level yake,maisha ya mwananchi Kenya ni ghali kuliko wako,kila nchi ina level za maisha yake,huwezi fananisha bei za bidhaa kote ni sawa

Tanzania kwenyewe unga Mwanza ni bei tofauti na DSM...halafu upo humu unafananisha gharama za maisha za nchi tofauti kabisa zenye economic peggings tofauti kabisa....

Na pia punguza usenge wa kugeuza wananchi ni watoto wadogo unaweza wachapa au kupiga "nyundo" unavyotaka,punguani wewe..kapige wanao na mkeo kwanza maana hata management ya economics of your own house and family unachezea F to begin with!Weka bank statements hapa to deny this
Watu walalamishi na mliodelezwa kama wewe ni hasara na mzigo kwa Taifa,watu Kam wewe Nchi kama China,Korea ni Eastern Europe au Japan mngekuwa kaburini saizi..

Haiwezi tuwe na watu walalamishi tuu alafu tuwe tunawasikiliza mnakwamisha maendeleo na kuambukiza upumbavu kwa watoto ambao walipaswa kufundishwa Kazi badala ya lawama na kusubiria vya bure bure,no free lunch
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,261
2,000
Kwanini wewe usifanye ili kutetea hoja yako,
Naona jamii forum imevamiwa sasa,

Wewe atakuandika tu hijui
Umefikaje?
Kwa mwenye akili timamu, lazima ang'amue ni matatizo ya kiufundi(kioo kinajigusa) hivyo pasina kurudia kusoma vizuri lazima nitoe boko, ila kwa kilaza kama wewe ndio ushapata hitimisho.

Niweke mimi hali yeye ndio kaleta mada nusu.

Ukishakunywa "wanzuki" sio lazima ujibu wanaume.
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,504
2,000
Ndio nikasema mtu kama ww unakosa fikra kabisa. Kama mimi maisha ni mazuri lakini jirani wanateseka, raha iko wapi? Furaha ni pale ambapo maisha yako, ya ndg, na majirani yanaenda vizuri.
Nimekuja tu Tz mwezi August, na sijawahi kuona waTz wakilalaamika kama sasa hivi. Yani kila mtu analia shida na wengi wanaomba msaada. Hali imekuwa si hali. Na ndio nikilinganisha na misimu au miaka mingine, kweli watu sasa ivi wanapigika kweli kweli.
Wanalalamikia nini? Lini hawakulalamika? Unadhani WaTzn ni sawa na wazungu?

Nimekwambia mapema kabisa kwamba hulka ya WaTzn ni kulalamika,kulaumu,kudeka,kukosoa kama tuu wewe ila hawana suluhisho..

Waambie wahamie ambako maisha ni rahisi tena uwasaidie kuwapeleka.

Hata mama analitambua hili 👇

2935085_FB_IMG_16307140795615105 (1).jpg
 

Felix

JF-Expert Member
Mar 9, 2014
799
1,000
Kuna limama limoja la CCM eti linasema "Nampongeza sana Mama kwa Kwenda Marekani"

Tanzania is full of ignorant politicians
Basi tu tunaheshim sheria na iman za dini zetu, isingekuwa hivyo ningekuonba hilo Limama utuletee tulichape makofi maana Kama ni kweli ninatia aibu Sana..
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
12,096
2,000
Mkuu Msamehe Opportunity Cost ,
Nadhani ni hasira katika kutetea ukweli,

Hoja ya tofauti in economic levls inamalizwa na Currency rate,

Lita moja ya mafuta Kenya ni Ksh 134.72

Hii Ksh 134.72 kwa Tanzania ni Tshs 2,831 lakini thamani iko sawasawa katika nchi zote mbili,

Maana yake shilingi ya Kenya ina nguvu kuliko ile ya Tanzania lakini Tanzania ,

Pamoja na Tanzania pesa yake kuwa chini bado na mafuta pia yako chini ndio maana pakawa exchange rate ili kustandardize hiyo tofauti ya kiuchumi yakila nchi,


TANZANIA MAFUTA NI CHINI SANA TUMSHUKURU MAMA SAMIA,
Exchange rate sisi tupo kwenye disadvantage

Huwezi sema exchange rate eti tumepona

Ndio maana dola ikipanda hadi Magufuli alikufa kwa presha,kamuulize kaburini atakuambia

Hoja yako na hesabu zako si kweli kabisa,nazikataa kwa jina la shetani!
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Mleta mada unafurahia umaskini hii ni dalili kwamba wa bongo hamna hela ya maana!! mnahangaika tu! sasa watawapandishiaje hizo bei? Maskini nyie? wewe ungelilia zipandishwe eti unafurahia ziko chini mweee!! haraka haraka unaonyesha darasa lako likoje!!

nitashangaa sana km umemaliza drs la saba!
 

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
1,604
2,000
Mleta mada unafurahia umaskini hii ni dalili kwamba wa bongo hamna hela ya maana!! mnahangaika tu! sasa watawapandishiaje hizo bei? Maskini nyie? wewe ungelilia zipandishwe eti unafurahia ziko chini mweee!! haraka haraka unaonyesha darasa lako likoje!!

nitashangaa sana km umemaliza drs la saba!
Achana na mambo ya madarasa,

lete fact,

Unamlalamikia nani?
 

Njiwa mpole 1997

Senior Member
Oct 27, 2020
159
250
Yote yanayosifia hapo no take ambayo yana tuvitz na Ist ,bas yanaona yamepatia sana maisha.Huku hayajali jamii kubwa iliyo nyuma yao.
 

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
1,604
2,000
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Africa Mashariki Kenya bei juu |Hongera Rais Samia,
________________________________
Wakati baadhi ya Watanzani wasiofuatilia mambo wamekuwa wakiilalamikia Serikali ya awamu ya Sita inayoongoza na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imepandisha bei ya Mafuta ya taa, dizeli na Petroli jambo ambalo ni sawa na wao kukosa fadhili juu ya juhudi kubwa na nzuri anazozifanya rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea unafuu wa Maisha wananchi wake kwani Mama anajua nishati ya mafuta ndio karibu kila kitu kwa maisha ya mnyonge wa chini,

Wakati wenzetu wa Rwanda, Burundi, Congo, Uganda, Kenya wakiimezea mate bei ya mafuta ya Tanzania Sisi Watanzani tunashindwa kuthamini na kutambua mchango wa Rais wetu katika kudhibiti bei ya nishati ya Mafuta nchini,Hii si sawa kabisa,

Jarida maarufu Africa la "STAR " limeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya chini kabisa kwa bei ya mafuta ya taa, dizeli na Petroli ukilinganisha na bei za nchi nyingine za EAC hivi majuzi,

Kwamsiofahamu,Bei ya Petroli Kenya ni Ksh 134.72 sawa na Tshs 2,831,Wakati Uganda ni Ksh 131 sawa na Tshs 2,751,Rwanda ni Ksh 121.08 sawa na Tshs 2,540, Wakati Tanzania bei ya Petroli ni Ksh 115.26 sawa na Tshs 2,421 kwenye Pump,

Wakati huohuo bei ya dizeli nchini Kenya ni Ksh 117.28 sawa Tshs 2,463,Uganda ni Ksh 115.60 sawa na Tshs 2,428 huku Rwanda bei ya dizeli ikifikia Ksh 110 karibu Sawa na Tshs 2.310 Wakati Tanzania bei ya dizeli imefikia Ksh 106.90 sawa na Tshs 2,245 tu,Tuendelee kumwombea rais wetu kipenzi cha wengi Mama Samia Suluhu Hassan,

______________________________

Kenyans are paying up to Sh19 more for a litre of petrol compared to their East African neighbours of Tanzania, Uganda and Rwanda as heavy taxation takes a toll on consumers.

Motorists and transporters are paying more than double what their counterparts in Addis Ababa are paying, where a litre of petrol and diesel are retailing at an equivalent of Sh51.28 and Sh44.66, respectively.

In Uganda, which imports part of its fuel through the Port of Mombasa, a litre of super petrol is retailing at Sh131 which is lower compared to Kenya's Sh134.72.


A litre of diesel in the neighbouring country is slightly higher, by Sh2, retailing at Sh117.28 compared to Sh115.60, despite the products going through Kenya into the landlocked country.

In Dar es Salaam, a litre of super petrol is retailing at Sh115.26, which is Sh19.46 less than that of Nairobi.

Diesel is going for Sh106.90 while kerosene is retailing at Sh103.34, compared to Nairobi's pump price of Sh110.82.

A litre of petrol and diesel in Kigali(Rwanda) is Sh121.08 and Sh110, respectively, despite being a land-locked country importing through Tanzania and Kenya.

On Tuesday, fuel prices in Kenya hit a historic high after prices of petrol, diesel and kerosene increasing by Sh7.58, Sh7.94 and Sh12.97, respectively.

“The prices are inclusive of the eight per cent Value Added Tax in line with the Finance Act 2018, the Tax Act 2018, the Tax Laws(Amendment) Act 2020 and the revised rates for excise duty adjustment for inflation,” EPRA director general Daniel Kiptoo said.

The increase came despite lower global crude prices in August which averaged $70.75 a barrel, down from $75.17 in July, and a drop in the landed cost of fuel at the Port of Mombasa.

Consumers in the country pay at least nine different taxes on fuel products which constitute the biggest share of final pump prices.


They include excise duty which takes the lion's share of Sh21.95 of every litre of petrol followed by the Road Maintenance Levy (Sh18).

VAT has been adjusted upwards to Sh9.98 while the Petroleum Development levy is charged at Sh5.40.

Other levies included in the fuel pricing are Petroleum Regulatory Levy, Railway Development Levy, Anti-adulteration Levy, Merchant Shipping Levy and the Import Declaration Fee.

The high fuel prices are expected to increase the cost of living in the country, where inflation has been rising since April, hitting an 18-month high of 6.57 in August.

Manufacturers and transporters have since warned of a jump in the cost of goods and services as they move to pass the high operational costs, occasioned by the fuel price jump, to the consumers.

Agricultural products are also expected to become costlier as diesel is a key input in production, mainly in large scale farming where machinery is used.

A number of other taxes introduced by the Finance Act 2021 are also expected to impact the cost of production in the country, affecting the prices of finished goods in the retail market.

The Consumers Federation of Kenya (COFEK) has since called on the President to request parliament to review the Finance Act.

“We need to ease the cost of living especially by dropping added taxes on cooking gas, fuel and essentials foodstuffs,” Secretary-General Stephen Mutoro said.
 

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,244
2,000
😀😀😀😀 ila nyie Watanzania,


Zambia kweli na Tanzania tutafunye assimilation,

ZASCO wachina wameichukua,

LUSAKA AIR PORT wachina wamechukua

ZABC wachina wameichukua

Sasa kweli unataka kucompare hizi nchi mbili kweli,?!
Hueleweki comparison yako iko kwenye nini.
Kama ni mafia airport inafanya nini kwenye hili linganisha lako

Kenya, Uganda na Tanzania wote wezi kupitia mafuta
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom