Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, diesel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

Sitaki maneno hamia kwenye hizo Nchi alafu kanusha kwa facts kwamba yaliyosemwa hapo juu bei ni kubwa kushinda majirani..

Hapo unazidi kuonyesha raha ya Tzn,kama vyakula na nyumba bei ni ndogo huoni maisha yanaendeka bongo?

Nyie watu mnataka nini hasa? Mbona mnadeka Sana?
Kama unakazania sijui hamia huko.. ngoja nikupashe. Sasa hivi naishi nchi 3 USA, Kenya, na Tz. USA ni PR, Ni raia wa Tz, na nina projects za investments Kenya. Naelewa Tz na Kenya vizuri zaidi yako.

Post yenu ni kusifia bei za mafuta.. chakula na kodi ya nyumba ni nyongeza yangu tu.. na maisha ni zaidi ya chakula na sehemu ya kukaa.
 
DocJayGroup hoja yako ni nini?

Mimi nimekupa exchange rate toka Shilingi ya Kenya,

Hebu soma tena zingatia Exchange rate ni KSH,
Hoja yangu ni kwamba watu kama ww.. mnasifia tu bila kufanye deep thinking. Na akili za namna hio ndio za CCM na ndio zimeifikisha Tanzania mahali ilipo ambapo ajira hakuna na kuna mfumuko wa bei kila sehemu, na national debt inakua kwa kazi ya 5G. Sasa endeleeni tu na hizo fikara zenu.
 
Kama unakazania sijui hamia huko.. ngoja nikupashe. Sasa hivi naishi nchi 3 USA, Kenya, na Tz. USA ni PR, Ni raia wa Tz, na nina projects za investments Kenya. Naelewa Tz na Kenya vizuri zaidi yako.
Post yenu ni kusifia bei za mafuta.. chakula na kodi ya nyumba ni nyongeza yangu tu.. na maisha ni zaidi ya chakula na sehemu ya kukaa.
Sasa kama vyote hivyo unafanya shida yako wewe na Tzn hasa ni nini?
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Africa Mashariki Kenya bei juu |Hongera Rais Samia,
________________________________
Mzunguko wa fedha na inflation upoje Tanzania kwa comparison ya maeneo uliyoyataja?

Jobless rate ipoje?

We can do better than this. Nilifanya kuisifia serikali yangu ya CCM last regimes lakini haikuwahi kuacha kuwatwisha mizigo mizito wananchi.

Mabadiliko yapo njiani
 
Sasa kama vyote hivyo unafanya shida yako wewe na Tzn hasa ni nini?
Ndio nikasema mtu kama ww unakosa fikra kabisa. Kama mimi maisha ni mazuri lakini jirani wanateseka, raha iko wapi? Furaha ni pale ambapo maisha yako, ya ndg, na majirani yanaenda vizuri.
Nimekuja tu Tz mwezi August, na sijawahi kuona waTz wakilalaamika kama sasa hivi. Yani kila mtu analia shida na wengi wanaomba msaada. Hali imekuwa si hali. Na ndio nikilinganisha na misimu au miaka mingine, kweli watu sasa ivi wanapigika kweli kweli.
 
Ndio nikasema mtu kama ww unakosa fikra kabisa. Kama mimi maisha ni mazuri lakini jirani wanateseka, raha iko wapi? Furaha ni pale ambapo maisha yako, ya ndg, na majirani yanaenda vizuri.
Nimekuja tu Tz mwezi August, na sijawahi kuona waTz wakilalaamika kama sasa hivi. Yani kila mtu analia shida na wengi wanaomba msaada. Hali imekuwa si hali. Na ndio nikilinganisha na miaka mingine, kweli watu sasa ivi wanapigika kweli kweli.
Kwa hiyo wanateseka kwa sababu ya nini?
 
Unalinganisha mwizi dhidi ya mwizi mwingine. Basi linganisha Tanzania na Zambia ambao wanategemea Bandar yetu.
 
Mzunguko wa fedha na inflation upoje Tanzania kwa comparison ya maeneo uliyoyataja?

Jobless rate ipoje?

We can do better than this. Nilifanya kuisifia serikali yangu ya CCM last regimes lakini haikuwahi kuacha kuwatwisha mizigo mizito wananchi.

Mabadiliko yapo njiani
Mabadiliko yanahitajika indeed! Ila most likely mambo yatakuwa mabaya zaidi kabla ya kuanza kuwa mazuri.
 
Watu mnaandika tu vitu na kusifia tu pasipo kufuata economic principles. Kwa mshahara wa Kenya ukilinganisha na Tanzania na kipato cha waTz.. hizo bei ziko juu sana. Na ndio maana waKenya hawalalamiki kama waTz .
Wakenya hawalalamiki?

Unaota wewe
 
Unalinganisha mwizi dhidi ya mwizi mwingine. Basi linganisha Tanzania na Zambia ambao wanategemea Bandar yetu.
😀😀😀😀 ila nyie Watanzania,

Zambia kweli na Tanzania tutafunye assimilation,

ZASCO wachina wameichukua,

LUSAKA AIR PORT wachina wamechukua

ZABC wachina wameichukua

Sasa kweli unataka kucompare hizi nchi mbili kweli,?!
 
Mzunguko wa fedha na inflation upoje Tanzania kwa comparison ya maeneo uliyoyataja?

Jobless rate ipoje?

We can do better than this. Nilifanya kuisifia serikali yangu ya CCM last regimes lakini haikuwahi kuacha kuwatwisha mizigo mizito wananchi.

Mabadiliko yapo

Hivi vyote haviamui bei ya mafuta mkuu wangu,
 
Hivi tatizo ni bei au uwezo wa Watu kumudu?.

Bei ikiwa juu kama Watu wana uwezo hakuna tatizo.
 
Wazee wa kuPRAISE.. sisi hatujilinganishi na mtu tunaangalia tulipotoka na tulipo, sijui unaelewa, toka diesel buku mia 7 mpaka buku mbilii na ushehe, kama graph ni tunapanda tu, uunadhani hatutofika huko kwa Wakenya unadhanni hatutopita zaaidi ya hapo, atleast hiyo bei ingekuwa imepungua toka 2600 hiv kuja hapo tunggefurahia Sababu ni dalili nzuri, tola wese limeanza kupanda ni mwendo wa kupanda tu..

Hilo moja, pia mbona umetutajia nchi za kenya, Uganda na Rwanda tu kwani Burundi haipo Afrika Mashariki?
 
Back
Top Bottom