Tanzania yaongoza duniani kwa thamani ya miamala ya mobile money

Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,868
19,258
Tanzania yaongoza duniani kwa thamani ya miamala ya mobile money,

Hii inaonesha namna Tanzania ilivyo na uchumi mkubwa na shughuli nyingi za kiuchumi ukanda huu kutokana na thamani ya transactions za pesa kwenye mzunguko kuwa kubwa kuliko Taifa lolote ukanda huu wote

Hongereni Tanzania kwa kuwa na uchumi halisi na sio wa kwenye makaratasi wala wa kupika.

Polish_20201122_050212034.jpg
Polish_20201122_050419600.jpg
 
Mambo yanabadilika kwa kasi sana.
Wapo majirani wanahaha kweli kweli.
4.18 vs 5b usd siyo matani.
Gape la almost 1b.
Next year tunaongeza gape.
Na sababu ya kufikia hiyo $4.1B ni kutokana na Corona restrictions kuwa juu sana wakati Tanzania Ina zaidi ya $5B at normalcy, maana yake kama na sisi tungekua na strictly restrictions tungeshoot mpaka $8B sababu automatically uchumi wetu ni mkubwa kuliko wao.
 
Tanzania yaongoza duniani kwa thamani ya miamala ya mobile money,

Hii inaonesha namna Tanzania ilivyo na uchumi mkubwa na shughuli nyingi za kiuchumi ukanda huu kutokana na thamani ya transactions za pesa kwenye mzunguko kuwa kubwa kuliko Taifa lolote ukanda huu wote

Hongereni Tanzania kwa kuwa na uchumi halisi na sio wa kwenye makaratasi wala wa kupika.

View attachment 1631890View attachment 1631891
Niliwaambia Kenya tushawapita kiuchumi ile kitambo, wanadai eti wana ofisi zote kubwa na makao makuu ya mashirika ya kimataifa. Kovid-19 haijawahi kumwacha mtu salama. Waendelee tu kupokea maelekezo kutoka US na London, JPM mwendo wa kupaa!
 
Kwenye hizo namba za tigo pesa na airtel money kukosa mimi kutumia simu sizingesoma hivyo. Kumbe ndio maana ukiniua utafungwa maisha.
 
Na sababu ya kufikia hiyo $4.1B ni kutokana na Corona restrictions kuwa juu sana wakati Tanzania Ina zaidi ya $5B at normalcy, maana yake kama na sisi tungekua na strictly restrictions tungeshoot mpaka $8B sababu automatically uchumi wetu ni mkubwa kuliko wao.
Mhh
 
Niliwaambia Kenya tushawapita kiuchumi ile kitambo, wanadai eti wana ofisi zote kubwa na makao makuu ya mashirika ya kimataifa. Kovid-19 haijawahi kumwacha mtu salama. Waendelee tu kupokea maelekezo kutoka US na London, JPM mwendo wa kupaa!
Usiseme kwa sauti kubwa kwani Lissu na Zitto watakasirika na kuacha kujipiga vidole.
 
Very expensive indeed to transact through mobile monies than convetional bank transfers. Imagine, withdarwing a 200,000 Tshs costs Tsh 5,000.
So horrible.

It's because of convenience. You do transactions at PoS, anytime, in real time, etc. Faida ni nyingi.
 
Banks have similar if not same services at affordable rates, yet convenient, at POS and real time as well. If you need cash you can go to a nearby agent and withdraw easily.

I only use mobile services (tigopesa etc) when there's no way to go.
 
Sasa kama volume ni kubwa hivyo kwanini transaction costs still very high?
Kina mazuzu yanasema uchumi unakuwa kwa hili bila kusahau bado TZ tunawatumiaji wachache sana wa Bank kulinganisha na Kenya
Bank ndio guarantee ya credit na financial stability ya mwananchi wa kawaida sio mobile money which in most cases is just for consumption purpose
 
Banks are daylight thieves...
 
Mbona kuna loan services kwa mobile users?!
 
Tanzania yaongoza duniani kwa thamani ya miamala ya mobile money,

Hii inaonesha namna Tanzania ilivyo na uchumi mkubwa na shughuli nyingi za kiuchumi ukanda huu kutokana na thamani ya transactions za pesa kwenye mzunguko kuwa kubwa kuliko Taifa lolote ukanda huu wote

Hongereni Tanzania kwa kuwa na uchumi halisi na sio wa kwenye makaratasi wala wa kupika.

View attachment 1631890View attachment 1631891
Upo dunia gani unaelewa maana yake? Uchumi wa mobile money? Give me a break?
 
Back
Top Bottom