Tanzania yaongoza Afrika katika kupambana na Rushwa, matumizi bora ya pesa za umma na kurudisha nidhamu Serikalini

kama na pesa imepungua rushwa shurti ipungue.., watoa rushwa wanalia vyuma vimekaza...., na wapokea rushwa wanapokea kidogo..
 
Shirika la Transparent International, limeitaja Tanzania kuongoza Africa katika mapambano dhidi ya rushwa, na matumizi bora ya Fedha za umma serikalini.

Hii ripoti ya 2019, imetoka kipindi ambacho rais wa nchi jirani aneamua kuendeleza matumizi yake ya hovyo kwa kukodi ndege ya kifahari ya kibinafsi badala ya kukodi ndege za KQ, kwenda Jamaica kutafuta wawekezaji wa mziki wa Reggae na KILIMO cha bhangi kuwekeza nchini mwake.

Tusishangae ndani ya miezi mitatu ijayo tukisikia nchi hiyo ikitembeza bakuli zingine kwa majina ya "Eurobond 7", ili kumuwezesha rais wao kuendelea kuzurura duniani" Aimlessly ".

Wewe Tanzania hiihii, matumizi bora ya pesa za umma tilioni 2.4 mpaka leo hazina maelezo, ufisadi ambao haujawahi kutokea toka uhuru. Haya wapiga vinanda na vinubi wa praise team njooni msifie taarifa feki ya kupika.
 
Kama ni msomi ulitaka TAKUKURU wakila rushwa wafanywaje? Diwani is Genius kwenye hili, kumbuka vita dhidi ya rushwa ni tofauti sana na vita ya ujambazi. Madhara ya rushwa hayako direct kama ujambazi. When you fight corruption, corruption fights you back.
Corruption wishes to envelop everyone around to create the situation where the ones involved assume that it is part of rules of the game.
 
Wewe Tanzania hiihii, matumizi bora ya pesa za umma tilioni 2.4 mpaka leo hazina maelezo, ufisadi ambao haujawahi kutokea toka uhuru. Haya wapiga vinanda na vinubi wa praise team njooni msifie taarifa feki ya kupika.
Unadhani kwanini Jumuiya za kimataifa zinapuuzia huo uzushi wa 2.4t? Makosa ya kimahesabu au makosa ya store records haimaanishi fedha zimeibiwa. Zitto anawapotosha nyie watoto. Fuatilieni vizuri ripoti ya CAG na mumtafute mhasibu mwenye CPA akuelezee hiyo issue. Hiyo ni taaluma, wazungu wameelewa ndo maana wameipotezea. Muende shule jamani lasivyo kila kitu mtaitukana serikali.
 
Shida ni kwamba zikitolewa na wananchi hapa nchini ambao ni watanzania, watu wasiojielewa wanasema tafiti zimefanywa na CCM, Sio jipya hili kama unakumbuka twaweza, Repoa, Hakielimu wote walishawahi kufanya tafiti za namna hii na zote zilionesha kuwa Magufuli amesimamia nchi kupunguza kwa kiasi rushwa. Shida kuna wanasiasa uchwara wanakuja kutudanganya mimi na wewe kuwa tarifa ni ya CCM tuipuuze na kweli tunaipuuza. Sasa zikitolewa za kimataifa utasikia maneno kuwa mabeberu wana maslahi ndo maana wanamsifia magu. Kwa ufupi ni kwamba watanzania hatujui tunachokihitaji, na ukimpata mtu ambaye anajinasibu kukuelezea anachokitaka basi utakuta mtu huyo anaelezea kitu ambacho hakipo kabisa duniani, too theoretical au kama kipo basi ni gumu au hakiwezi kutekelezeka (impractical).
Upo sahihi.
 
Unadhani kwanini Jumuiya za kimataifa zinapuuzia huo uzushi wa 2.4t? Makosa ya kimahesabu au makosa ya store records haimaanishi fedha zimeibiwa. Zitto anawapotosha nyie watoto. Fuatilieni vizuri ripoti ya CAG na mumtafute mhasibu mwenye CPA akuelezee hiyo issue. Hiyo ni taaluma, wazungu wameelewa ndo maana wameipotezea. Muende shule jamani lasivyo kila kitu mtaitukana serikali.
Uwiwu wa kufikiri. Tunapeda copy & paste kuendeleza nguvu ya kulinda hofu ya kukosa hoja wakati kuna hoja iko wazi. Watu wanapinga tuuu, hawaungi mkono hasa ikiwa ukweli unatengua kauli zao.
 
Back
Top Bottom