Tanzania yaomba EAC iingilie kati katika kuzuia mipango ya Kenya kujenga bwawa Mara

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,513
47,725
Kenya imedhamiria kujenga bwawa kwenye mto Mara kwa vyovyote vile, Tanzania wameomba tusitishe maana Serengeti inategemea huo mto. Sasa sielewi kwanini panakua na kutoelewana kwa issue ndogo kama hii, wanatunishiana misuli, tuone mwisho wake.
-------------------------------------------------------

Tanzania is now seeking the intervention of East African Community ministerial committees on the issue of damming the Mara River, which has put it on a collision course with Kenya.
The Mara River rises in Kenya’s Mau Summit, flows through the world famous Masai Mara and into the Serengeti in Tanzania before draining into Lake Victoria.
Last week, Kenya said that it would go ahead with plans agreed on with Tanzania to build two dams on the river, one in Kenya and another in Tanzania, to control the flow of the water.
Tanzania’s Deputy Minister for Tourism Constantine Kanyasu however this past week told The EastAfrican that, as both countries have resolved to construct hydroelectric dams that experts say have detrimental effects in future, his ministry is planning to forward the matter to the ministerial committees.
“This matter is more a diplomatic issue and my office has no mandate to resolve it once and for all. We have to seek international arbitration from within East Africa,” Mr Kanyasu said.
Tanzania says that the dams will reduce the water flow into the Serengeti the heartbeat of Tanzanian tourism.

Jengeni uzuri Serengeti ni 15000 square km. Japokuwa migration will be no more, tunaweza jenga artificial canal toka lake Victoria to save the wildlife! Kenya as a country ni watu wadogo sana kutu-influence! Mko geographical kwa kila angle if u try to chest thumb us!
 
In an act of sovereignty, we should not allow Tanzania to lecture us on our development plan or the environment. The water of the mara river originate from kenya we should use it and put our interest first before any other country. This is why we need a bigger and better military just in case somebody wants to play with our national interests.
 
Kenya imedhamiria kujenga bwawa kwenye mto Mara kwa vyovyote vile, Tanzania wameomba tusitishe maana Serengeti inategemea huo mto. Sasa sielewi kwanini panakua na kutoelewana kwa issue ndogo kama hii, wanatunishiana misuli, tuone mwisho wake.
-------------------------------------------------------

Tanzania is now seeking the intervention of East African Community ministerial committees on the issue of damming the Mara River, which has put it on a collision course with Kenya.
The Mara River rises in Kenya’s Mau Summit, flows through the world famous Masai Mara and into the Serengeti in Tanzania before draining into Lake Victoria.
Last week, Kenya said that it would go ahead with plans agreed on with Tanzania to build two dams on the river, one in Kenya and another in Tanzania, to control the flow of the water.
Tanzania’s Deputy Minister for Tourism Constantine Kanyasu however this past week told The EastAfrican that, as both countries have resolved to construct hydroelectric dams that experts say have detrimental effects in future, his ministry is planning to forward the matter to the ministerial committees.
“This matter is more a diplomatic issue and my office has no mandate to resolve it once and for all. We have to seek international arbitration from within East Africa,” Mr Kanyasu said.
Tanzania says that the dams will reduce the water flow into the Serengeti the heartbeat of Tanzanian tourism.

Mimi sioni tatizo! Labda wangekuwa wanadivert maji kutoka kwenye main stream! Maana lile bwawa litajaa na maji yataendelea kuflow kama kawaida!

Vile vile tunaweza kuchimba bwawa kubwa la kuifadhia maji kabla Kenya hawajajenga lao ili kipindi bwawa lao linajazwa tuwe na maji ya kutosha ili flow iendelee kama kawaida!
 
Tanzania owns 14 J-7 Fighter jets, which have got hot spots capable to carry lessar gaided missile, these planes are New and Modern second Generation with Maximum speed of 2200KM/hr, we can easily destroy that dam, if you try to construct it.
 
Mimi sioni tatizo! Labda wangekuwa wanadivert maji kutoka kwenye main stream! Maana lile bwawa litajaa na maji yataendelea kuflow kama kawaida!

Vile vile tunaweza kuchimba bwawa kubwa la kuifadhia maji kabla Kenya hawajajenga lao ili kipindi bwawa lao linajazwa tuwe na maji ya kutosha ili flow iendelee kama kawaida!

Yeah hii ni busara...
 
Kenya imedhamiria kujenga bwawa kwenye mto Mara kwa vyovyote vile, Tanzania wameomba tusitishe maana Serengeti inategemea huo mto. Sasa sielewi kwanini panakua na kutoelewana kwa issue ndogo kama hii, wanatunishiana misuli, tuone mwisho wake.
-------------------------------------------------------
Tanzania is now seeking the intervention of East African Community ministerial committees on the issue of damming the Mara River, which has put it on a collision course with Kenya.
The Mara River rises in Kenya’s Mau Summit, flows through the world famous Masai Mara and into the Serengeti in Tanzania before draining into Lake Victoria.
Last week, Kenya said that it would go ahead with plans agreed on with Tanzania to build two dams on the river, one in Kenya and another in Tanzania, to control the flow of the water.
Tanzania’s Deputy Minister for Tourism Constantine Kanyasu however this past week told The EastAfrican that, as both countries have resolved to construct hydroelectric dams that experts say have detrimental effects in future, his ministry is planning to forward the matter to the ministerial committees.
“This matter is more a diplomatic issue and my office has no mandate to resolve it once and for all. We have to seek international arbitration from within East Africa,” Mr Kanyasu said.
Tanzania says that the dams will reduce the water flow into the Serengeti the heartbeat of Tanzanian tourism.
Kenya wametuvumilia sana, tumechoma vifaranga kama vitatuletea ukoma tena kwa sifa na matangazo mkubwa, tumezuia maziwa nayo kwa sifa kubwa, tumefanya mambo mengi ya ugomvi, leo wmetubana tunaanza kulialia, kama mi i kenyatta nazuia maji tnzania siyo rafiki ni unafiki wa jiwe tuu
 
In an act of sovereignty, we should not allow Tanzania to lecture us on our development plan or the environment. The water of the mara river originate from kenya we should use it and put our interest first before any other country. This is why we need a bigger and better military just in case somebody wants to play with our national interests.
Very good
 
Umeongea kama CDF kumbe ni kinyangara tu maskini ya Mungu let me tell you HAMTOJENGA hilo bwawa kwa kuwa father wa ukanda KAGOMA
In an act of sovereignty, we should not allow Tanzania to lecture us on our development plan or the environment. The water of the mara river originate from kenya we should use it and put our interest first before any other country. This is why we need a bigger and better military just in case somebody wants to play with our national interests.
 
Kenya wametuvumilia sana, tumechoma vifaranga kama vitatuletea ukoma tena kwa sifa na matangazo mkubwa, tumezuia maziwa nayo kwa sifa kubwa, tumefanya mambo mengi ya ugomvi, leo wmetubana tunaanza kulialia, kama mi i kenyatta nazuia maji tnzania siyo rafiki ni unafiki wa jiwe tuu
Unadhani wametuvumilia au hawana jinsi?, utaona hata hili bwawa hawatojenga wanajaribu kutingisha kibiriti tu. Vipi kuhusu Tanzania kuomba kuuza stock yake ya pembe za Ndovu zilizopo ghalani ili kupata pesa za kuendeleza hifadhi zake, Kenya walizunguka dunia nzima kupiga kampeni ili Tanzania isirihusiwe kuuza hizo pembe, mwishowe tulikwama, Tanzania ina tani elfu 3 ya meno ya tembo, tungepata zaidi ya $2B.
 
Stupid, unaona hela lakini extinction ya tembo huoni, nani hawajui nyie mtapewa kibali tembo wote selous wataisha na bado pembe mtakua nazo ghalani, nani hawajui nyie
 
In an act of sovereignty, we should not allow Tanzania to lecture us on our development plan or the environment. The water of the mara river originate from kenya we should use it and put our interest first before any other country. This is why we need a bigger and better military just in case somebody wants to play with our national interests.
And water from Mt Kilimanjaro to Amboseli n Tsavo NPs n the whole of Taita Taveta originates from Tanzania! We can build a dam overthere too! And see if u will have other options too!
 
Stupid, unaona hela lakini extinction ya tembo huoni, nani hawajui nyie mtapewa kibali tembo wote selous wataisha na bado pembe mtakua nazo ghalani, nani hawajui nyie
Huoni kwamba mto Mara ukikauka utasumbua Ecosystem nzima ya Serengeti na Wanyama wote waliopo Serengeti wakiwemo hao Tembo kufariki.

Pesa ambazo tulizihitaji ni kwaajili ya kuimarisha ulinzi wa hao tembo, tulitaka kununua helicopters na drones za kutosha, pamoja na satellite cameras za kisasa za kuweza kuwafuatilia tembo mbugani.

Sasa wewe unakataa pembe siziuzwe lakini unakubali mto ukaushwe ili Wanyama, ndege na viumbe hai vyote vilivyomo Serengeti vipotee?
 
Kasome
And water from Mt Kilimanjaro to Amboseli n Tsavo NPs n the whole of Taita Taveta originates from Tanzania! We can build a dam overthere too! And see if u will have other options too!
Kasome tena jigrafia wewe , maji ya tsavo yanatoka mto galana na mto tana, maji ya kilimanjaro yote yanaangukia tanzania, ugomvi tunaanzaisha sisi , bahati kenya wana rais mstaarabu sana hata nairobi licha ya alshabaab anendesha gari mwenyewe, haihitaji platooon ya ulinzi, helivopter mbili, magari 200, ndege moja, midude ya kivita kwenda kuongea na wananchi wake
n
 
Huoni kwamba mto Mara ukikauka utasumbua Ecosystem nzima ya Serengeti na Wanyama wote waliopo Serengeti wakiwemo hao Tembo kufariki.

Pesa ambazo tulizihitaji ni kwaajili ya kuimarisha ulinzi wa hao tembo, tulitaka kununua helicopters na drones za kutosha, pamoja na satellite cameras za kisasa za kuweza kuwafuatilia tembo mbugani.

Sasa wewe unakataa pembe siziuzwe lakini unakubali mto ukaushwe ili Wanyama, ndege na viumbe hai vyote vilivyomo Serengeti vipotee?
Tunawajua nasema tunawajua na wazungu wanawajua sana usinipe upuuzi wenu hapa mmemaliza tembo waliobaki wanalindwa kwa nguvu ya misaada kupitia GTZ ujerumani , mpaka mishahara, nasema tunawajua viongozi wengi walioshikwa mikoni na pembe za tembo either wako serikalini, chama tawala au wana unusiano, tunawajua sana
 
Kasome
Kasome tena jigrafia wewe , maji ya tsavo yanatoka mto galana na mto tana, maji ya kilimanjaro yote yanaangukia tanzania, ugomvi tunaanzaisha sisi , bahati kenya wana rais mstaarabu sana hata nairobi licha ya alshabaab anendesha gari mwenyewe, haihitaji platooon ya ulinzi, helivopter mbili, magari 200, ndege moja, midude ya kivita kwenda kuongea na wananchi wake
n
Kenya imepakana na nchi tano, na zote hizo zinakwaruzana na Kenya, huo ustaarabu ni upi?. Tanzania tumepakana na nchi nane, zote tunaishi kwa Amani, husikii Zambia, Malawi, DRC, Burundi, Rwanda au Uganda wsliofunga mpaka na kuchoma matairi barabarani isipokua Kenya.
 
Tunawajua nasema tunawajua na wazungu wanawajua sana usinipe upuuzi wenu hapa mmemaliza tembo waliobaki wanalindwa kwa nguvu ya misaada kupitia GTZ ujerumani , mpaka mishahara, nasema tunawajua viongozi wengi walioshikwa mikoni na pembe za tembo either wako serikalini, chama tawala au wana unusiano, tunawajua sana
Jibu hoja ya athari ya mto Mara ukikauka na ulinganishe na athari ya kuuza zile pembe za ndovu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom