Tanzania yamkataa balozi mpya wa Zambia kutokana na majina yake

Tulimkataa, sasa anakula bata huko Brussels.
1612980596589.png
 
Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania.Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.
Hii ndio raha ya kusema kila kitu kianze kuongelewa kwa lugha ya kiswahili. Bado tusubiri hukumu za mahakama zianze kuandikwa kwa kiswahili. PO zitakuwa million ,jedi hazitaisha mahakamani kwa sababu ya PO.
 
Kwa hiyo huyo musenge sasa hivi yupo matawi ya juu kuliko huku? Basi kweli huyu ni musenge mukuma kabisa,yaani jiwe amtimue halafu apande juu kwa juu hadi juu kabisa? Basi acha tu tumkubali musenge maana kweli ni mukuma
 
Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania.Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.
Wamuache tu mbona wasukuma tumewazoea😆😆
 
Back
Top Bottom