Yaani umeona mbali sana mkuuHala hala ndugu zangu madaktari muendao huko Kenya,muwe waangalifu sana na ikibidi mpatiwe ulinzi.
Ni kweli hii itakuwa ahueni, unajua inauma sana kuona mtu wa taaluma nyeti kama udaktari kakaa mtaani akisubiri ajira kwa mda mrefuNimefarijika sana kuona hili, at least itapunguza ukali wa tatizo la ajira kwa madaktari, GoT nayo ijipange for long term solution ya ajira, vinginevyo after two years tena tutakuwa na madaktari wengi sana mtaani.
Hilo muulize UhuRuto, all we care ni tumepunguza tegemezi mtaani cha muhimu usalama wao tu.Mgomo kenya uliisha !!!nini wanakuja kufanya !!!
Hilo muulize UhuRuto, all we care ni tumepunguza tegemezi mtaani cha muhimu usalama wao tu.
Tunaomba tu usalama wa vijana wetu. Maana hasira zinaweza kuishia kwa hawa watoto wetu.