Tanzania yakataliwa kuuza pembe za ndovu!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Habari zinaingia taratibu kuwa Tanzania imekataliwa kuuza pembe za ndovu kama ambavyo kwa miezi kadhaa sasa imekuwa ikikampenia ifanye.

==================

Tanzania, Zambia bid for one-off ivory sales fail

The Associated Press
March 22, 2010


DOHA, Qatar — Proposals by Tanzania and Zambia to weaken the 21-year-old ban on ivory sales were shot down by a U.N. conservation meeting Monday over fears it would fuel the illegal trade of elephant tusks.

The 175-nation Convention on International Trade in Endangered Species first rejected the Tanzania proposal for a one-off sale of existing ivory stocks and then swept aside a Zambian compromise to allow for future sales of tusks.

The rulings were a rare victory for environmentalists at the two-week meeting where they have endured defeats of proposals ranging from an export ban on Atlantic bluefin tuna to a shark conservation plan to a measure to regulate trade of red and pink corals.

The proposals would have been the third and fourth such one-time ivory sales following cases in 1999 and 2008.

Prof. Samuel K. Wasser, director of the Center for Conservation Biology at the University of Washington, said there is a clear link between one-off sales and the rise in poaching. He said the sales revive dormant markets by sending consumers the message that it is OK in general to once again buy ivory and makes it difficult to differentiate between legal and illegal products.

"This is a rare victory for elephants," said Jason Bell-Leask, director of the International Fund for Animal Welfare, Southern Africa.

Tanzania was asking to sell almost 200,000 pounds (90,000 kilograms) of ivory that would have generated as much as $20 million. It noted in its proposal that its elephant population has risen from about 55,000 in 1989 to almost 137,000, according to a 2007 study.

Zambia wanted to sell 48,000 pounds (21,700 kilograms) of ivory. It withdrew a request for the ivory sale and offered a compromise to allow a regulated trade in elephants parts excluding ivory — a first step toward future tusk sales.

It picked up support from the United States and some European nations, but the proposal was defeated mostly due to opposition from the 23-nation, AfricanElephant Coalition.

The two countries argued that its elephant population had reached the point where they were trampling crops and killing too many people. They also said preventing them from selling the stocks — which come from natural deaths or controlled culling of problem animals — would increase anger toward the beasts who are seen increasingly as pests by affected communities.

"Tanzania is committed to conservation of its wildlife including elephants," said Shamsa Selengia Mwangunga, the country's minister of natural resources and tourism. "But should this meeting fail to consider this proposal, we run the risk of enhancing hostility against elephants by our local community especially where human-elephant conflicts are prevalent. More elephants would be killed."

Zambia's Minister of Tourism, Environment and Natural Resources Catherine Namugala accused activists and other delegates of misrepresenting the poaching situation in her country and spreading rumors that it would spend the money raised from sales on election campaigns.

It also complained that her country was struggling to protect elephants when it couldn't provide its citizens with basic needs.

"We can't justify failure to take a child to school because we are using resources to conserve elephants," Namugala said. "I appeal to allow Zambia to utilize the natural resources given to us by God."

But several central and west African countries say the two nations have not done enough to combat poaching and slow the illegal trade in ivory. They also wanted more time to assess whether a 2008 ivory sale by Zimbabwe, Botswana, South Africa, Namibia had contributed to the illegal trade.

Ivory sales have in recent years been among the most contentious proposals at CITES and this time around African countries, and even some environmental groups, are divided. The ivory would be sold to China and Japan —the only countries which have asked to purchase it.

TRAFFIC, the wildlife trade monitoring group, tracks ivory seizures and found that poaching and smuggling to markets mostly in Asia has risen steadily since 2004. They blame weak law enforcement in Africa and growing demand for ivory products like chopsticks and ivory jewelry mostly in China, Thailand and other Asian countries.

The price of ivory on the black market has risen from about $200-a-kilo in 2004 to as much as $1,500 now.

Africa elephants have seen their numbers drop in the past 40 years by more than to 600,000 mostly due to poaching. A global ban on the ivory trade in 1989 briefly halted their slide. But conservationists said that poaching, especially in central Africa, now leads to the loss of as many as 60,000 elephants each year. Without intervention, the elephants could be nearly extinct by 2020.
 
EU, UK favour Dar's ivory sale bid

In a surprise turn of events, Tanzania is this week likely to win its bid to sell its stockpile of ivory, estimated to be worth $15 million.

The vote on Tanzania's proposal to be allowed to sell its ivory stockpile is due this week amid reports that the counter-proposal 20-year ban on ivory sales that has divided Kenya and Tanzania down the middle is likely to fail, partly because Britain and other members of the EU are refusing to support it.

The news that proposals to ban trade in bluefin tuna and polar bears were overwhelmingly rejected last week at the Convention on International Trade in Endangered Species (Cites), meeting in Doha, Qatar, prompted the Times of London to write:

"A plan for a 20-year ban on ivory sales, to protect African elephants, is also likely to fail in the coming days - partly because Britain and other members of the EU are refusing to support it. Delegates are instead expected to approve a weak compromise, which would encourage poaching by allowing the sale of ivory being stored by several African nations."

The number of elephants lost to poaching in Kenya has quadrupled in the past two years.

Kenya is one of seven African nations proposing a 20-year moratorium on sales of stockpiled ivory, while Tanzania is among countries opposed to the ban, saying that it not only needs to dispose of its ivory stockpile, it also wants to reduce it elephant population.

A main plank of Tanzania's argument is that it is spending $75,000 annually on security and storage of ivory.

Poaching control


Last week, a report in the Gulf News was quoted saying that the Cites secretariat has rejected Tanzania's bid to be allowed to sell its ivory - citing concerns about control of poaching and illegal trade in ivory - but Zambia's case to sell 22 tonnes was being considered.

Reports indicate that Cites was concerned that if given the nod, Tanzania would slip into large-scale poaching.

Britain supported a one-off sale of 105 tonnes in 2008, arguing that it would reduce poaching by satisfying demand.

But Kenya says that the one-off sales have expanded the market in China and Japan for ivory ornaments, and that this in turn has encouraged poaching.

According to the Times, the UK's Department for Environment, Food and Rural Affairs said it was still considering whether to support a lowering of the Cites protection for Tanzanian and Zambian elephants.

Robbie Marsland, UK Director of the International Fund for Animal Welfare said it was disappointing that the government and European Union have not gone into this meeting with a much stronger message against the ivory trade and in favour of elephant protection.

A report by an international team of 27 scientists and conservationists concluded that previous one-off sales had contributed to a rise in poaching and failed to deliver the promised conservation benefits, resulting in "only short-term profitability to the few individuals who ran the scheme.

Chanzo: The east African
 
Hii ni habari njema kwa anti-fisadi!

Hii inayoitwa "stockpiled" ivory inaacha maswali mengi kuliko majibu - Ujangili unaoendelea ndani ya mbuga zetu hasa hasa Selous ni wa AIBU!
 
Habari zinaingia taratibu kuwa Tanzania imekataliwa kuuza pembe za ndovu kama ambavyo kwa miezi kadhaa sasa imekuwa ikikampenia ifanye. More story to come...


Ndo furaha ya wakenya mkuu, naamini wamefanukisha azma yao kwani walipania saana tunyimwe hiyo ruhusa ya kuuza hizo pembe
 
Dah afadhari maana wangefaidi sana mafisadi nilimsikia yule naibu waziri anasema pesa zitakazo patikana watawekeza kwenye maliasili mmh hawata tumia hata senti moja afadhari kama dili lao limebuma.
 
Moi alichoma moto maelfu ya pembe ili kupinga uwindaji haramu, sisi wa TZ tunataka kuhalalisha biashara hii haramu! inayotishia kumaliza kabisa uwepo duniani wa viumbe hawa?

Mbona vyanzo vingi tu vya mapato hatujavitumia ipasavyo kujiongezea kipato chetu kama vile madini, bahari, ardhi nzuri n.k ...nini hiki?
 
Hii ni habari njema kwa anti-fisadi!

Hii inayoitwa "stockpiled" ivory inaacha maswali mengi kuliko majibu - Ujangili unaoendelea ndani ya mbuga zetu hasa hasa Selous ni wa AIBU!


Mkuu ujangili unachangiwa na mambo mengi, vitendea kazi hafifu, uchache wa askari wa wanyama pori, na mahitaji ya pepmbe za ndovu sokoni ni makubwa saana, Ni garama saana kuendelea kuhifandhi hizo pembe zingeuzwa wangenunua vitendea kazi zaidi kwani garama za kuzihifadhi na zenyewe ni kubwa saana
 
sawa kabisa, hatuwezi kufurahia utajiri au hela za kuuza mali haramu kwani iyo population ya tembo imekua kubwa baada ya no sell no buy police, hatuitaji kuwatafutia watumasoko kwani ni haohao wa serikalini ndio wataanza kujitafutia soko kwani credibility yao si tunaijua!
nadhani uu ulikua mpango wa siri kwani population ya tembo kule selou inakua kubwa kuliko nature inavyoweza wa support so kuwapunguza is inevitable ndio maana hawa mafisadi wachache wameamua kutaka kujitengenezea soko na iyo stock iwapo ingekubaliwa ingeongezeka kwa kasi ambayo huwezi amini!
 
Mkuu ujangili unachangiwa na mambo mengi, vitendea kazi hafifu, uchache wa askari wa wanyama pori, na mahitaji ya pepmbe za ndovu sokoni ni makubwa saana, Ni garama saana kuendelea kuhifandhi hizo pembe zingeuzwa wangenunua vitendea kazi zaidi kwani garama za kuzihifadhi na zenyewe ni kubwa saana

Mkuu,

Sidhani kama ni mambo mengi!

Kwa leo siwezi kubandika hapa yanayoendelea Selous - Tatizo kubwa katika Sekta ya Utalii - Hakuna "Accountability" nukta! Kila mtu anachukua chake mapema and that is it. Hata hiyo stock ingeuzwa yote, niamini mimi na Mungu hakuna mabadiliko noticeable ambayo ungeyaona katika hii sekta.

Tunapaswa kuwaondoa wanasiasa katika kila kona ya hii sekta and then tuweke wataalamu na tuwaache wafanye kazi. Vinginevyo yote ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa!
 
Sasa kuuza pembe ni 20million USD tu, hivi tumepoteza shilingi ngapi katika mambo yasiyokuwa ya msingi/ufisadi mdogo mdogo na mkubwa?

Hatuna haja ya kujidhalilisha kuomba tufanye kitu kilicho kataliwa miaka kadhaa.

Mwisho tutapeleka proposal ya kuuza bangi ya kule Mara.
 
Ndo furaha ya wakenya mkuu, naamini wamefanukisha azma yao kwani walipania saana tunyimwe hiyo ruhusa ya kuuza hizo pembe
Suala hapa si nani kafurahi tatizo ni kubwa kuliko kupewa hiyo ruhusa leo. Ni lazima tujipange vizuri kulinda mali asili zetu kama samaki tunaibiwa hadi leo ni kiasi gani tunapoteza ni kuliko mapato ya hizo pembe tulizohifadhi kwa miaka 15, hatuna uwezo wa kulinda eneo dogo la bahari sembuse mapori yetu yaliotapakaa nchi nzima kwani ruhusa ya kuuza ni ufunguo wa ujamgili ambao hasara yake itakua kubwa zaidi. Wametusaidia tusisikitike
 
Moi alichoma moto maelfu ya pembe ili kupinga uwindaji haramu, sisi wa TZ tunataka kuhalalisha biashara hii haramu! inayotishia kumaliza kabisa uwepo duniani wa viumbe hawa?

Mbona vyanzo vingi tu vya mapato hatujavitumia ipasavyo kujiongezea kipato chetu kama vile madini, bahari, ardhi nzuri n.k ...nini hiki?
pamoja na mambo mengine yoote, na ubaya wa ujangili , mimi nikuulize swali moja Mzizi, Je nini faida ya maliasili ambayo haitumiki kuinua maisha ya wananchi ? je tuendelee kuwaangalia wakizaana kwa mamilioni , ama tutafute soko kwaajili ya kuwauza katika njia zinazoeleweka. ?
 
pamoja na mambo mengine yoote, na ubaya wa ujangili , mimi nikuulize swali moja Mzizi, Je nini faida ya maliasili ambayo haitumiki kuinua maisha ya wananchi ? je tuendelee kuwaangalia wakizaana kwa mamilioni , ama tutafute soko kwaajili ya kuwauza katika njia zinazoeleweka. ?

Wanazidi kupungua mkuu kwa sababu wanawindwa kisirisiri na wawindaji haramu ukiangalia takwimu zao utashangaa wanapungua mno!
Mbona ndovu wanatuletea faida nyiingi tu kupitia watalii? na ninaamini wakizidi kuzaliana kiasi kwamba wakataka kuhamia kwenye nyumba zetu hiyo itakuwa kesi nyingine, lakini tembo wanapumngua na tusipokuwa makini wataisha!
 
Wanazidi kupungua mkuu kwa sababu wanawindwa kisirisiri na wawindaji haramu ukiangalia takwimu zao utashangaa wanapungua mno!
Mbona ndovu wanatuletea faida nyiingi tu kupitia watalii? na ninaamini wakizidi kuzaliana kiasi kwamba wakataka kuhamia kwenye nyumba zetu hiyo itakuwa kesi nyingine, lakini tembo wanapumngua na tusipokuwa makini wataisha!
duuuh, labda tuje na takwimu murua kujustify hayo, je ni kweli Tembo wanapungua ? ama ?
maana kwa namna ambavyo mimi nafahamu kupitia marafiki ni kua kuna ongezeko kubwa la tembo ambalo kama lisipodhibitiwa litaleta taabu kule porini .
 
Afadhali wametukatalia kwani huyu mama Shamsa Mwangunga ambae inasemekana yuko beneti na majangili wa kiburushi wa kule Rujewa alikuwa amezifanyia mahesabu hizo bilioni ili zije kutumika kwenye uchaguzi October kuwasaidia yeye na genge la mafisadi!!! Wazungu wamewastukia kuwa walikuwawanatafuta fedha za uchaguzi!!
 
Poleni jamani. Naona mambo yenu hayawaendei vizuri as of late. Juzi juzi mlinyimwa mgao wa rada wa $ 20 mil, na sasa tena mmekosa $ 20 mil. Jiulizeni ..
 
Serikali yetu isijiaibishe kwa kuanza kampeni ya kuuza nyara haramu kinachotakiwa ni kuchomwa moto kuonyesha maharamia na ulimwengu kuwa tuko serious kwa hilo wakiruhusu biashara hiyo haramu kwa kisingizio cha pesa basi kama wanataka pesa kwa nini wasiwe wanauza makontena ya madawa ya kulevya wanayokamata kwa vile huwa na thamani kubwa ya mabilioni zaidi ya hizi pembe?
 
Serikali yetu isijiaibishe kwa kuanza kampeni ya kuuza nyara haramu kinachotakiwa ni kuchomwa moto kuonyesha maharamia na ulimwengu kuwa tuko serious kwa hilo wakiruhusu biashara hiyo haramu kwa kisingizio cha pesa basi kama wanataka pesa kwa nini wasiwe wanauza makontena ya madawa ya kulevya wanayokamata kwa vile huwa na thamani kubwa ya mabilioni zaidi ya hizi pembe?
nimekuelewa, wafanye kama silaha haramu, mbona jeshi huwa hawataifishi, instead wanazichoma moto.
 
Afadhari iwe hivyo maana kutaweza kuwa na mkono wa watu hata hizi pesa kwenda sehemu nyingine kabisa
 
Back
Top Bottom