Tanzania yajitoa katika mpango wa Visa ya pamoja Afrika Mashariki

kama viongoz wetu wamekataa hio kitu..naamin wana sababu ya msingi kufanya hvyo..
 
Jamani, Tanzania imechoshwa kubebea misalaba ya nchi zingine. Leo hii tukikubali huu mpango ni ndege zao zita jaa watalii, hoteli zao zita furika watalii kwa kutumia majina ya vivutio vyetu. Balozi zao zita kusanya mapato zaidi ya balozi zetu. Vikiwashindaga huko wanakimbia kutulazimisha na sisi tujitolee kuokoa jahazi. Kwanza huu mpango wa viza moja haujathibitishwa kama utanufaisha sekta yetu ya utalii, mtalii aliyejipanga kuja kutembea nchi zaidi ya moja East Africa, hawezi kushindwa kulipa viza za nchi anazotaka kutembelea. Kumbuka gharama ya viza kwa nchi zote hizo ni kama asilimia moja (1%) ya gharama yake yote ya kuja huku. Mbona tuliyo yakubali hawataki kuyatekeleza haraka? mfano; sarafu moja ya afrika mashariki.
 
Tanzania imejitoa katika mpango wa Visa ya pamoja unaohusisha mataifa ya Kenya, Uganda na Rwanda. Mpango huo uliadhimia kushirikisha mataifa yaliyo katika mpango wa Viza ya pamoja katika kutanga biashara ya utalii kwa pamoja.

Aidha Tanzania pia haitashiriki katika matukio ya kitalii ya Afrika Mashariki unaoendeshwa na mataifa hayo jirani.

Katibu wa baraza la utalii Najib Balala amesema Tanzania imejiondoa katika mkakati huo kwasababu inahofia ushindani kutoka Kenya.

=========
Tanzania has dealt Kenya another blow by distancing itself from the common visa launched between Kenya, Uganda and Rwanda.

The common visa is meant to, among other things, enable the members states to jointly market their tourism as a single product.

Tanzania also wants nothing to do with the joint marketing strategies pushed by Kenya, Uganda and Rwanda and will not participate in the East African tourism platform events being pushed for by the neighbours.

The joint visa has been issued to 4,000 tourists who will be visiting the three countries, now dubbed ‘the coalition of the willing’.

In a media briefing Wednesday, Tourism Cabinet Secretary Najib Balala said Tanzania was wary of competition from Kenya.

“Tourists who will be moving between the three countries that form the coalition will now be using a common visa that will be charged at $100 (Sh10,122) instead of $150 (Sh15,183) that each country charged before,” Mr Balala said.

“The coalition of the willing has also agreed to have a common East Africa stand at the world Travel Market to be held in London on November 7. The stand has been dubbed ‘borderless East Africa’, but Tanzania will not be part of it,” he added.

However, Balala asserted that if the three East African countries want to move on with a regional cooperation pact on tourism, nothing will stop them and hoped the latest joint strategy will motivate Tanzania to join in.

Balala said the problem with the East African region is that countries live with “a fear of the unknown”. He called on the country’s neighbours to look at each other not as competitors, but as friends complementing each other. “Our competitors are the Caribbean countries and the Far East. We shouldn’t compete among ourselves,” Balala said. “I want to encourage Tanzania to join us. Our doors are open,” he added.

At the same time, the CS gave the numbers of tourist arrivals from the region, which indicated Tanzania’s numbers had shrunk compared to Uganda.

“From Uganda, we had 50,000 arrivals. From Tanzania we had 30,000, while we had 25,000 from Ethiopia. We are yet to get numbers from Rwanda and Burundi,” Balala said.

The latest development comes just months after Tanzania declined to sign the Economic Partnership Agreement (EPA) between EAC and European Union (EU).

Source: Standard Digital
 
Hoja anayotoa Balala kuwa Tz imejitoa kwasababu inaogopa ushindani kutoka Kenya ni mwendelezo wa upumbavu wa wakenya dhidi ya Tz. Balala amesahau kuwa Kenya ndio iliyojitoa Kwanza kwenye jumuia ya Kwanza ambayo ilikuwa imefika mbali zaidi kuliko hii. Kama wakenya wanaamini ktk umoja mbona hawajashauri tuunganishe mashirika ya ndege Kwanza? Mbona kwenye kuunganisha sarafu wanasuasua? Kama walidhani aliyekuwa anakataa protocol za kihuni ni kikwete peke yake wamepotea. Tanzania imeweka wazi kuwa hatupo tayari kuruhusu single tourist visa, free movement of labour na suala la ardhi. Na hivi majuzi tumekataa kusign EPA kwasababu haina maslahi kwetu. Kuendelea kutupigia kelele juu ya mambo hayo ni kupoteza Muda na hiyo inaonesha jinsi msivyoamini kuwa tunajua tunachofanya na enzi za upendo wa mshumaa zilishapita na Sasa ni maslahi tu.
 
Kama Afrika ya kusini Zuma alikataa kukubali wapatiwe wakenya Visa wanapoingia, Akasema hatokubali mambo hayo katika muda huu. Atafikiria
Kwani nini sisi tuwe na haraka na mfuko mmoja wa pesa ya visa ya utalii katika jumuia? Tukiwa na dharuraje tutaipataje hiyo hela?
 
"The Fear of unknown"!. Si sawa kusema kauli hiyo, mpaka serikali inaamua kujiondoa au kukataa kuwa na visa ya pamoja, maana yake ilizingatia faida na hasara za kitendo hicho.
 
Siyo kila kujiamini kuna akili .nasiyo kila hofu aina akili baadhi ya watu wanadanganya makanisani kuto kuitambua dhana hii wanasahau kuna maandiko yana wasifia watu wenye hofu ya mungu hivyo hofu au kuhofia jambo siyo ujinga nia ya Kenya toka zamani ni kujinufaisha yenyewe kibinafsi ndo iliua jumuia ya mwanzo
 
Ni kweli wakenya wanania ovusana na nchi zetu tena kuna wawekezaji wa kizungu walio wekeza Kenya waponyuma ya ili jambo Kenya inatumiwa na wazungu kuziujumu nchi jirani ususani tanzania
 
Watanganyika ni watu wa ajabu sana,uafrika ni kwa kuibana zanzibar tu ila kwa nchi jirani sababu kibao,mara hofu mara rasilimali.
Watazidiwa maarifa huko, Watanganyika tumezoea miteremko na kuogopa ushindani. Kwani Wakenya wana nini cha kuwaogopa? Labda tofauti ni kwamba wenzetu wanachakarika, badala ya kulalamikia rasilmali. Rasilmali isiyoweza kukunufaisha ni kama yule jogoo alisema ni bora pumba ya mtama kuliko hii almasi aliyokota.
 
Tanzania imejitoa katika mpango wa Visa ya pamoja unaohusisha mataifa ya Kenya, Uganda na Rwanda. Mpango huo uliadhimia kushirikisha mataifa yaliyo katika mpango wa Viza ya pamoja katika kutanga biashara ya utalii kwa pamoja.

Aidha Tanzania pia haitashiriki katika matukio ya kitalii ya Afrika Mashariki unaoendeshwa na mataifa hayo jirani.

Katibu wa baraza la utalii Najib Balala amesema Tanzania imejiondoa katika mkakati huo kwasababu inahofia ushindani kutoka Kenya.

=========
Tanzania has dealt Kenya another blow by distancing itself from the common visa launched between Kenya, Uganda and Rwanda.

The common visa is meant to, among other things, enable the members states to jointly market their tourism as a single product.

Tanzania also wants nothing to do with the joint marketing strategies pushed by Kenya, Uganda and Rwanda and will not participate in the East African tourism platform events being pushed for by the neighbours.

The joint visa has been issued to 4,000 tourists who will be visiting the three countries, now dubbed ‘the coalition of the willing’.

In a media briefing Wednesday, Tourism Cabinet Secretary Najib Balala said Tanzania was wary of competition from Kenya.

“Tourists who will be moving between the three countries that form the coalition will now be using a common visa that will be charged at $100 (Sh10,122) instead of $150 (Sh15,183) that each country charged before,” Mr Balala said.

“The coalition of the willing has also agreed to have a common East Africa stand at the world Travel Market to be held in London on November 7. The stand has been dubbed ‘borderless East Africa’, but Tanzania will not be part of it,” he added.

However, Balala asserted that if the three East African countries want to move on with a regional cooperation pact on tourism, nothing will stop them and hoped the latest joint strategy will motivate Tanzania to join in.

Balala said the problem with the East African region is that countries live with “a fear of the unknown”. He called on the country’s neighbours to look at each other not as competitors, but as friends complementing each other. “Our competitors are the Caribbean countries and the Far East. We shouldn’t compete among ourselves,” Balala said. “I want to encourage Tanzania to join us. Our doors are open,” he added.

At the same time, the CS gave the numbers of tourist arrivals from the region, which indicated Tanzania’s numbers had shrunk compared to Uganda.

“From Uganda, we had 50,000 arrivals. From Tanzania we had 30,000, while we had 25,000 from Ethiopia. We are yet to get numbers from Rwanda and Burundi,” Balala said.

The latest development comes just months after Tanzania declined to sign the Economic Partnership Agreement (EPA) between EAC and European Union (EU).

Source: Standard Digital
Nimekikumbuka kisa cha mwanafunzi mmoja kutengwa na wanafunzi wenzake sababu ana akili huwa anawazidi kila mtihani unapotolewa.hiyo ni miaka ya 1968.
 
Hii ni furaha kwa sisi watanzania. Safi sana katibu mkuu. Rwanda wanatafuta ardhi ya kupunguza population density yake.
 
Back
Top Bottom