joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
MY TAKE: Wakenya lini mtajifuza?, mara zote mnapoanzisha migogoro mnaishia kupiga magoti na kuomba msamaha, lakini bado mnarudia chokochoko za kijinga.
Dah ila unajikomba kwa hao manyangau mkuuWatu wako serious na kusimamia sheria zao nyie mnaleta upumbavu wa lege lege..
Linchi la hovyo and weak government ndio linashindwa kusimamia sheria
Kenya wapo serious,mnaanza kulia
Mkafie huko
Mama kachemka kweli, makosa ya mazoea? Wewe unaingia nchi ya watu bila sheria sababu tu ulikuwa unafanya bila kushikwa ndio kuhalalisha makosa. Kuna nchi ukikuwa huna barakoa fine dola 800 hapo Dubai tu sasa wewe utoke hapa uende nchi ya watu uvunje sheria.Bro
Na state fact....sina haja ya kubana FACT sababu tu eti mie Mtanzania,noooo
Nasema kweli,tujisahihishe
Anacholalamika huyo mama hakuna hoja,analalamika Wakenya wapo serious na kusimamia sheria zao,wakati yeye upande wa Tanzania ni bora liende
Ulalamishi mtupu
Anataka Wakenya wasisimamie sheria zao sababu yeye hawezi simamia zake huku upande wa pili
Na yeye asimamie ashike wanaovuka kimakosa, simple!
Sio kulia lia!
Sisi hatuigizi, tuvae barakoa kwani tufanya surgery?Kama hamuvai barakoa Tanzania mnadhani mtaleta hio tabia hapa Kenya? Huku Kenya lazima uvae barakoa. Simple tu.
Ana chuki sn uyo hata Wakenya huwa wanamshangaa sn uyo jamaa, yuko personal siku zote muwache tu uyo.Wewe nyumbu unajikutaga mjuaji sana wewe huh
Sana tu unajuwa wakati mwingine ukiwa unataka kutoa statement kama hizi ukiwa unajuwa unaongea na mtu wa taifa lingine acha watu wapitie statement yako watu wenye uelewa wa masuala ya kidiplomasia sio unakurupuka tu. Maana hata kama yule angeweza kufanya kitu lakini hawezi kufanya sababu italeta sura kama kaogopa kitisho. Inasikitisha ila ndio viongozi wetu wamezoea kutoa amri kutia ndani watu huko kwa wenzetu hakuna hayo.Mkuu
Hapa ndio unaona difference kati ya well runned stated and taifa linaloendeshwa kibwege bwege....
Such a big difference yaani
Ww ndo unasema hivyo ila subiri usikie toka kwa Uhunye.
Kaniacha hoi eti makosa ya kimazoea tu sio uhalifu. Kwa hiyo mimi nikipigwa fine na speed nimwambie trafic mimi nimezoea tu kila siku napita hapa speed sijagonga mtu niachiwe tu.Mkuu
Hapa ndio unaona difference kati ya well runned stated and taifa linaloendeshwa kibwege bwege....
Such a big difference yaani
Ninakuhakikishia ikifika Kesho wote watakua wameshaachiliwa bila masharti yoyote, Kenya inaogopa sana Tanzania
Mbona mlituweka katika orodha ya nchi hatari, lakini tulipolipiza kwa kuzuia ndege zenu mkaufyata mkia?, hamna uwezo wa kufanya lolote kwa Tanzania, hayo aliyosema huyo mama ni amri kwa Kenya, lazima wataachiwa bila masharti yoyote na haizidi keshoKama hamuvai barakoa Tanzania mnadhani mtaleta hio tabia hapa Kenya? Huku Kenya lazima uvae barakoa. Simple tu.
Well runned State?Mkuu
Hapa ndio unaona difference kati ya well runned stated and taifa linaloendeshwa kibwege bwege....
Such a big difference yaani
Robotic mind.Kama hamuvai barakoa Tanzania mnadhani mtaleta hio tabia hapa Kenya? Huku Kenya lazima uvae barakoa. Simple tu.