Tanzania yaitaka CNN kuacha upotoshaji juu ya mpaka wa Tanzania na Malawi

Well said mkuu, watu tunacho sahau ni kwamba vyombo hivyo vya habari ni "HIS MASTER'S VOICE" we fikilia chombo kama CNN kinawezaje ku-run mgogoro wa ziwa Nyasa kwa siku TATU KWENYE CHANNEL YAO! Kuna kitu pale si bure; niliwahi kuonya humu kwamba kwa nini mama Banda alionekana amepigwa picha na Military Top Brass wa Merikani, ni watu wachache walio nielewa!!

Sijuhi kama mwezi umekwisha pita TANGU NI VOICE wasi wasi wangu kuhusu photo op hiyo ambayo si ya kawaida kiprotokali - baadae CNN wanakuja na utetezi wao - WHY? Si ajabu makampuni ya mafuta ya Merikani ndio yaliweka appoitment ya mama huyu kukutana na Wanajeshi hao ku-drive point home, makampuni yako so powerful unaweza kufikili ni Serikali within Serikali sisi hilo hatulioni, nilionya vile vile kwamba kampuni hizi ZA MAFUTA zinaweza kabisa kufanya mambo mengine kwa kumzunguka OBAMA i.e hasijue kinacho endelea, ukitaka kujua undani wa modus operandi ya makampuni haya ya MAFUTA fatilia kampuni ya ulinzi ijulikanayo kama Halliburton, kampuni hii hua inafanya kazi i.e contracted na makampuni ya mafuta kwenye nyanja ya ulizi na mambo mengine, actually kampuni hii ni jeshi kamili wanafanya mambo mengine ambayo ni HAIR RAISING, hatari kweli kweli.

Mimi kwa mawazo yangu naona tuliteleza kidogo kwa kuitisha press conference badala ya kum-summon Barozi wa Merikani na kumkabidhi barua ya malalamiko siyo kwa mdomo!! CNN wanakuja na maelezo ya kum-support Bi BANDA huku wakijua fika kwamba CNN ina onekana/angaliwa na watu wengi DUNIANI ili tuonekane sisi ni wakorofi tunataka kuonea nchi ndogo ya MALAWI - sasa mama huyo akiomba msaada baada ya kuona mambo yanamwendea kombo nani atamlahumu - wenzetu wametumia "in my opinion the most clever ploy" alafu sisi hilo tunalichukulia kimzaa mzaa.

Kuna vitu vingine ambavyo unifanya karibu nipasuke kichwa!! Juzi juzi nimesikia kumbe meli za IRAN bado zinaendelea kupeperusha bendera yetu ya TAIFA!!!! Yaani tunataka kujingiza katika migogoro na DUNIA kwa nini? Kama wahusika wangekuwa wana mchukulia waziri wetu wa mambo ya nchi za nje seriously wasinge endelea kumpuuzia, cha ajabu wanao defy maelekezo ya Waziri ya kuwakataza wasi peperushe bendera yetu kwenye meli za IRAN wanajulikana i.e Kampuni nasikia hiko DUBAI!!! Sioni kama kuna jitihada zozote za ku-address SERIOUSLY tatizo hili ambalo linaweza kulifanya taifa letu kuwekewa vikwazo vya KIUCHUMI - wenzetu hawana UTANI !!

Raisi wako kila kukicha yuko nje ya nchi. Ina maana amekosa support? Anazurura nini sasa kama anakosa support?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom