Tanzania yaipa kichapo tena Kenya, yapeleka bidhaa nyingi Kenya

Unadhani au ndio ukweli wenyewe, huyu Bi Mkubwa apewe sifa zake anapostahili. Juzi hapa meli imekuja na magari 3000 wenye wivu na Mama wanajifanya kazi ya JPM wakati alifeli kila angle. Huyu Mama kwenye siasa za Uchumi anamzidi mbali JPM ambae mtaji wake mkubwa ni kutumia mabavu.
Anamzidi kwa mbali sana yule jamaa
 
Ni kweli tumewazidi ila tofauti yetu na wao, wao tunawapelekea zaidi malighafi kama mbao, mahindi wakati wao wanaleta bidhaa ambazo zipo tayari .
ukiangalia kwa umakini tunawatengenezea ajira kubwa kwao badala ya sisi kuwauzia mahindi tulitakiwa kuwauzia unga ili pumba zitengeneze chakula pia badala ya kuwapelekea mbao tulipaswa kuwapelekea bidhaa zinazotokana na mbao.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom