Tanzania yaijengea reli Uganda, South Sudan yavutiwa, yaomba kuitumia bandari ya Dar kupitia Uganda.

buda Rwandese,congolese and Burundians use Mombasa Port More than they use Dar
Endeleeni kusikiliza na kuangalia "media" zenu ziwajaze ujinga kwa kuwapa sifa na matumaini ya kijinga.
 
Current Population


South sudan. 12.58 mil
Uganda. 42.86 mil

Rwanda. 12.21 mil
Burundi. 10.86 mil
Malawi. 18.62 mil
Zambia. 17.69 mil
Congo. 81.34 mil

NB
South sudan na uganda tuna share.
Leta data hapa wacha propaganda ya sisiem....
 
Ati Beira do u know even geography? Do u even know where r most mines in DRC located?
Pamoja na kuhudumia izo nchi zote mbona traffic ya mizigo dar ni kama nusu ya Ile traffic ya Mombasa..akili ya midudu ya sisiem imejaa uharo
 
Pamoja na kuhudumia izo nchi zote mbona traffic ya mizigo dar ni kama nusu ya Ile traffic ya Mombasa..akili ya midudu ya sisiem imejaa uharo
We r chopping Uganda's cargo by the time we serve 50% u won't be saying the same!
 
Pamoja na kuhudumia izo nchi zote mbona traffic ya mizigo dar ni kama nusu ya Ile traffic ya Mombasa..akili ya midudu ya sisiem imejaa uharo
Lete data ya mizigo iliyopita Mombasa na iliyopita Dar 2018, acha kuzungumza mambo toka kichwani mwako.
 
Lete data ya mizigo iliyopita Mombasa na iliyopita Dar 2018, acha kuzungumza mambo toka kichwani mwako.
Volume of cargo handled in metric tones 2018
Mombasa port 30.75milion tonnes
Port of dar 16.2milion tonnes......
Google uko nayo lakini kichwa kimejaa matope na choirs za kusifia jiwe
 
Volume of cargo handled in metric tones 2018
Mombasa port 30.75milion tonnes
Port of dar 16.2milion tonnes......
Google uko nayo lakini kichwa kimejaa matope na choirs za kusifia jiwe
Umeshindwa kuleta link badala yake unaleta udaku sio?, Hahahahaha, Hapa kazi Tu.
 
Guys what’s with the hullabaloo ..... Dar port and Mombasa are not peers. Mombasa handles almost twice what dar handles. Most of the cargo ends up in Nairobi Kenya 🇰🇪 not Uganda, Rwanda South Sudan or Congo. The only way Dar can beat MSA is if Kenyan cargo passes through Dar port ....... which will never happen. What you forget in all these is that the Kenyan economy is almost twice the TZ economy and this reflects on the cargo volumes handled. Forget about UG, Congo, Sudan etc..... your neighbor will never make you rich. Kila nchi ipambane na hali yake!!
 
Nimekuekea link ikiwa volumes za 2018 na sio kama wewe ulaleta data za 2017......ati sasa wewe ndio akili kubwa za sisiemnaonea mibongo huruma
Wewe ndio pumbavu kuliko wote hapa JF, Mimi nimekuletea mzigo uliopita bandari ya Mombasa 2017 alikua tani Milioni 22, kwa ukuaji wa 10% per year ungetumia akili ungeoata mwaka 2019 ni 25M tonnes.

Wewe unawasikiliza hao wajinga wakenya wanaosema wanategemea kupokea tani 31M. Wewe ndio zuzu kweli, hivi unawaamini wakenya waliotegemea kufikisha reli Malaba, kuweka umeme katika SGR yao, kujenga Greenfield terminal, kujenga 5 big stadia, na vyote vimeshindikina. Sasa wewe badala ya kuweka mizigo iliyopita bandari ya Mombasa mwaka 2018, wewe unaweka expectations za wajinga hao. Kwa taarifa yako, mzigo uliongezeka kwa 6.6% toka ule wa mwaka 2017.
 
Guys what’s with the hullabaloo ..... Dar port and Mombasa are not peers. Mombasa handles almost twice what dar handles. Most of the cargo ends up in Nairobi Kenya not Uganda, Rwanda South Sudan or Congo. The only way Dar can beat MSA is if Kenyan cargo passes through Dar port ....... which will never happen. What you forget in all these is that the Kenyan economy is almost twice the TZ economy and this reflects on the cargo volumes handled. Forget about UG, Congo, Sudan etc..... your neighbor will never make you rich. Kila nchi ipambane na hali yake!!
Give us the data which shows that, in 2017 Mombasa cargo was 22M tonnes while Dar was 16M tonnes, and this before UN shifted to Tanzania, this gap is closing very fast. Remember, Malawi, Zambia, Rwanda and Burundi almost all their cargo go through Dar port, 20% of Uganda cargo go through Dar port, currently we are positioning ourselves to get part of Uganda cargo which contributes nearly 28% of all cargo of Mombasa port. Is not easy for Mombasa port to compete with Dar especially after Uganda and South Sudan has indicated to use Dar port instead of Mombasa
 
Tafadhali tumieni lugha ya staha(avoid vulgar language), unapachika majina ya kihumi(showing lack of etiquette) kwa jirani zako ambao wemewekeza Tanzania zaidi ya kampuni 150 na wewe huna hata kampuni moja kwao! aliyetangulia katangulia tu!
Katanguliwa wapi!!??
Tulia upewe dawa Nya.ng'au
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom