joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
- Thread starter
- #41
Acha kupanic, hii miradi yote ilikuwa Kenya, wakati Paul Kagame, Museven, Kiir na Uhuru walivyokuja kuzindua reli kama sehemu ya LAPSET, mliona ni kitu kizuri sana, wengi mlipita huku mkijipiga kifua.Kuna jamaa ywaitwa mfiaukwel...aluwanyorosha vibaya sana hawa jamaa....joto la jiwe kaulizwa feasibility study ya sgr jiwe iko wapi...
Joto kasema eti ni public document...mara tena akiitaka aende kw wizara husika ataonyeshwa...nikaamuuliza yeye ameshawai enda na akaonyeshwa...jamaa akalenga hadi leo
Mlipokubaliana na Uganda kupitisha BOMBA la mafuta toka Uganda, Kenya nzima ilishangilia, sasa hivi mambo yamegeuka mnaanza kurusha mikono hewani na kuona haitofanikiwa.
Hii ni biashara kila nchi lazima ivutie kwake, usiwe na wivu wa kijinga, kujeni na mipango bora zaidi ili mfanikishe biashara, hapana kuonea wivu mwenzako anayejipanga, na wewe jipange zaidi yake.