Tanzania yaijengea reli Uganda, South Sudan yavutiwa, yaomba kuitumia bandari ya Dar kupitia Uganda.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Hii ni habari njema sana kwa utengemano wa EAC. Ninakumbuka siku za nyuma nchi za Uganda, Rwanda, South Sudan zikiongozwa na Kenya, zilizindua reli ya kuziunganisha kule Mombasa chini ya Umoja uliojulikana kama "Coalition of the willings"(CoW), sina uhakika kama Umoja huo bado upo.

Nchi zile zile zimeamua kutumia bandari ya Dar, kila nchi ikitoa sababu tofauti, South Sudan imekua nchi ya mwisho kuja kuomba kutumia bandari ya Dar. Hii ni baada ya kusikia kwamba, Tanzania imetoa pesa, vifaa na mafundi ambao walienda kufufua reli ya Uganda toka Port bell hadi Kampala, ili treni zinazitoka Dar, zikifika Mwanza zibebwe na meli maalumu hadi port bell na hatimaye kufika Kampala. Tafadhali tuupatie jina huu umoja wa sasa, ili tuutofautishe na" CoW".
 
😁😁😁😁😁😁 JPM jamani basi sasa hizi sifaaa sasa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unawanyooosha watu mpaka sio poa

Wakenya mtuvumilie tu kwa kweli sababu sio kwa ubaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunatumia tu rasilimali zetu
 
😁😁😁😁😁 JPM jamani basi sasa hizi sifaaa sasa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Wakenya sio kwa ubaya lakini tunajaribu kutumia rasilimali zetu tu japo kwa uchache πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Lamu vepeee the first deepest docker in the region, serving panamax and neopanamax vessels 😁😁😁 South Sudan ndio yenye herufi nyingi kwenye white elephant ya LAPSSET halafu haitaki kusikia kabisa kuhumusu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wakenya mnafeli wapi? Nani aliwaloga? 😜
 
Tutofautishe mikataba inayofanywa kisiasa kuputia wakubwa au mawaziri na mabalozi wanayoifanya kama show na kile wanachofanya wafanyabiashara baada ya mikataba hiyo kufanyika.

Mfanyabiashara anaangalia faida sio kiki za wanasiasa.
Kenya ni nchi yenye viongozi wenye moyo na roho ya kibiashara na uchumi sio watanzania wanaofanya siasa kwenye kila kitu na hofu ya kusema kila kitu tunaibiwa utadhani wao ndio waliumba hizo rasilimali ambazo dunia itachakaa na kuangamia kabla ya kuzimaliza huku wananchi wakifa maskini na rasilimali lukuki zikibaki kama vumbi pale dunia itakapoangamizwa na mapigo ya makombora ya Nyukilia na mionzi mikali ya jua na mafuriko ,vimbunga na kadhalika kutokana na mazingira kuharibika kutokana na vita zinazozidi kuinyemelea dunia.

MKenya anaweza akaweka bandari Huru na watu wakapitishia mizigo yao yote pale.
Biashara na uchumi na mipango ni akili na maarifa sio mbwembwe za hiyena hiyena ,mbele kwa mbele ,wataisoma namba na blabah za kina Msiba mkuwa.

Majirani zetu Wengi wanaiweka Tanzania kama chaguo la akiba mana Kenya kuna Tatizo la Ugaidi ,hivyo kikinuka wanaleta mizigo yao kupitia Tanzania lakini sio kwamba wanapenda kupitishia Tanzania.
Hakuna mfanyabiashara anayependa hasara hata Siku moja.

Ni kama Bomba la mafuta. Kenya wana ardhi ndogo yenye rutuba; walipiga hesabu kutoa eneo la Ardhi yao Kutoka Mpakani na Uganda mpaka Mombasa wakagundua kuwa inaukubwa wa Wilaya nzima. Wakaamua kuupotezea mbali huo ukabaila na unyonyaji mkubwa na wizi wa ardhi ya wananchi ambayo haina muda maalumu wa kutumia.
Tanzania tukashangilia kuwa sisi tumelamba dume na kukimbila haraka haraka kumpa Mganda ardhi kubwa ambayo mpaka sasa hatujui inaukubwa kupitisha baomba la mafuta yake na kwenda kuuza huko nje na kupata pesa za waganda huku vizazi vyetu baadae vikija kukosa ardhi. Mana linapopita bomba la mafuta na gesi haiwezekana tena kufanya shughuli za kilimo na uchimbaji wa madini na kupanda misitu wala miti ya matunda.

Kenya wanalenga uchumi wao zaidi ndio maana mpaka leo ndilo taifa lenye uchumi imara Afrika Mashariki pamoja na vita kubwa ya Ugaidi inayowazunguka.
Ni nchi yenye demokrasia angalau kidogo tofauti na Manchu hayo mengine ikiwemo Rwanda na Uganda ambazo ni siasa za bunduki mkononi ndio zinaziweka serikali madarakani.

Bado Kenya ni mfano mzuri wa kisiasa na kiuchumi kwa Afrika Mashariki.
Kikwete na Mkapa waliogopwa na hao jamaa mana wawekezaji walizikimbia hizo nchi na kukimbilia Tanzania hasa baada ya kuwa na Gesi nyingi na kile walichokiita kuvutia wawekezaji ;Tatizo ni Rushwa kubwa ndani ya serikali ya CCM toka kwa wawekezaji iliyokuwa inatumika kupata hela za kuhonga wapiga kura na kuwatisha wawekezaji na wafanyabiashara na wakubwa wengine ndani ya vyombo vya dola, kuwa wakizubaa bila kutoa pesa za kuisaidia CCM , basi Chama kingine kikiingia madarakani watafilisiwa na kufukuzwa nchini na wengine kuvuliwa vyeo vyao.
 
Ata mbebe mzigo ya Uganda Bure bado watatumia Mombasa.

Hii ni habari njema sana kwa utengemano wa EAC. Ninakumbuka siku za nyuma nchi za Uganda, Rwanda, South Sudan zikiongozwa na Kenya, zilizindua reli ya kuziunganisha kule Mombasa chini ya Umoja uliojulikana kama "Coalition of the willings"(CoW), sina uhakika kama Umoja huo bado upo.

Nchi zile zile zimeamua kutumia bandari ya Dar, kila nchi ikitoa sababu tofauti, South Sudan imekua nchi ya mwisho kuja kuomba kutumia bandari ya Dar. Hii ni baada ya kusikia kwamba, Tanzania imetoa pesa, vifaa na mafundi ambao walienda kufufua reli ya Uganda toka Port bell hadi Kampala, ili treni zinazitoka Dar, zikifika Mwanza zibebwe na meli maalumu hadi port bell na hatimaye kufika Kampala. Tafadhali tuupatie jina huu umoja wa sasa, ili tuutofautishe na" CoW".
 
Tutofautishe mikataba inayofanywa kisiasa kuputia wakubwa au mawaziri na mabalozi wanayoifanya kama show na kile wanachofanya wafanyabiashara baada ya mikataba hiyo kufanyika.

Mfanyabiashara anaangalia faida sio kiki za wanasiasa.
Kenya ni nchi yenye viongozi wenye moyo na roho ya kibiashara na uchumi sio watanzania wanaofanya siasa kwenye kila kitu na hofu ya kusema kila kitu tunaibiwa utadhani wao ndio waliumba hizo rasilimali ambazo dunia itachakaa na kuangamia kabla ya kuzimaliza huku wananchi wakifa maskini na rasilimali lukuki zikibaki kama vumbi pale dunia itakapoangamizwa na mapigo ya makombora ya Nyukilia na mionzi mikali ya jua na mafuriko ,vimbunga na kadhalika kutokana na mazingira kuharibika kutokana na vita zinazozidi kuinyemelea dunia.

MKenya anaweza akaweka bandari Huru na watu wakapitishia mizigo yao yote pale.
Biashara na uchumi na mipango ni akili na maarifa sio mbwembwe za hiyena hiyena ,mbele kwa mbele ,wataisoma namba na blabah za kina Msiba mkuwa.

Majirani zetu Wengi wanaiweka Tanzania kama chaguo la akiba mana Kenya kuna Tatizo la Ugaidi ,hivyo kikinuka wanaleta mizigo yao kupitia Tanzania lakini sio kwamba wanapenda kupitishia Tanzania.
Hakuna mfanyabiashara anayependa hasara hata Siku moja.

Ni kama Bomba la mafuta. Kenya wana ardhi ndogo yenye rutuba; walipiga hesabu kutoa eneo la Ardhi yao Kutoka Mpakani na Uganda mpaka Mombasa wakagundua kuwa inaukubwa wa Wilaya nzima. Wakaamua kuupotezea mbali huo ukabaila na unyonyaji mkubwa na wizi wa ardhi ya wananchi ambayo haina muda maalumu wa kutumia.
Tanzania tukashangilia kuwa sisi tumelamba dume na kukimbila haraka haraka kumpa Mganda ardhi kubwa ambayo mpaka sasa hatujui inaukubwa kupitisha baomba la mafuta yake na kwenda kuuza huko nje na kupata pesa za waganda huku vizazi vyetu baadae vikija kukosa ardhi. Mana linapopita bomba la mafuta na gesi haiwezekana tena kufanya shughuli za kilimo na uchimbaji wa madini na kupanda misitu wala miti ya matunda.

Kenya wanalenga uchumi wao zaidi ndio maana mpaka leo ndilo taifa lenye uchumi imara Afrika Mashariki pamoja na vita kubwa ya Ugaidi inayowazunguka.
Ni nchi yenye demokrasia angalau kidogo tofauti na Manchu hayo mengine ikiwemo Rwanda na Uganda ambazo ni siasa za bunduki mkononi ndio zinaziweka serikali madarakani.

Bado Kenya ni mfano mzuri wa kisiasa na kiuchumi kwa Afrika Mashariki.
Kikwete na Mkapa waliogopwa na hao jamaa mana wawekezaji walizikimbia hizo nchi na kukimbilia Tanzania hasa baada ya kuwa na Gesi nyingi na kile walichokiita kuvutia wawekezaji ;Tatizo ni Rushwa kubwa ndani ya serikali ya CCM toka kwa wawekezaji iliyokuwa inatumika kupata hela za kuhonga wapiga kura na kuwatisha wawekezaji na wafanyabiashara na wakubwa wengine ndani ya vyombo vya dola, kuwa wakizubaa bila kutoa pesa za kuisaidia CCM , basi Chama kingine kikiingia madarakani watafilisiwa na kufukuzwa nchini na wengine kuvuliwa vyeo vyao.
Naona umeandika kishabiki sana
 
Hahahahaha, Aisee. Hapa kazi Tu.
 
Naona umeandika kishabiki sana

Sio kishabiki ni kuwaongezea Changamoto watawala wasibweteke na mikataba hiyo bila kuchukua hatua zaidi ya kuondoa vikwazo mbalimbali vinavyowakimbiza wawekezaji na wafanyabiashara kuona kuwa kwenye nchi hii kuna urasimu wa serikali kutaka kila kitu ipate yenyewe tu bila kujali mitaji ya watu na familia zao ambazo wengine hawajaajiriwa na serikali wanajitegemea sasa wakifilisika watakua wageni wa nani!

Kesho na kesho kutwa usishangae hao hao wapo Kenya wanaingia mkataba wa kupitishia mizigo yao Kenya.
Wanasiasa hawana Rafiki wa kudumu na wafanyabiashara hawana urafiki na mtu anayewasababishia hasara.

Tuwaambie kuwa hawajakamilika ili wafanye vizuri zaidi.
 
Waganda wanatumia Mombasa na watatumia Mombasa hadi ile siku utakufa
Usiwe mnyonge kiasi hicho, zungumza kwa kujiamini kaka, hata ninyi mpo na vitu vingi tu vizuri, tuwekee ili tujifuze, kauli ya namna hii inaonyesha kukata tamaa, sio kauli yenye kuonyesha matumaini.
 
Tafadhali tumieni lugha ya staha(avoid vulgar language), unapachika majina ya kihumi(showing lack of etiquette) kwa jirani zako ambao wemewekeza Tanzania zaidi ya kampuni 150 na wewe huna hata kampuni moja kwao! aliyetangulia katangulia tu!
Kwenda zako huko na kizungu chako cha ugoko. Hilo jina la nyan'gau lilitamkwa sana na Mwl. Nyerere mbona hukumkataza kulitumia?
 
Hii ni habari njema sana kwa utengemano wa EAC. Ninakumbuka siku za nyuma nchi za Uganda, Rwanda, South Sudan zikiongozwa na Kenya, zilizindua reli ya kuziunganisha kule Mombasa chini ya Umoja uliojulikana kama "Coalition of the willings"(CoW), sina uhakika kama Umoja huo bado upo.

Nchi zile zile zimeamua kutumia bandari ya Dar, kila nchi ikitoa sababu tofauti, South Sudan imekua nchi ya mwisho kuja kuomba kutumia bandari ya Dar. Hii ni baada ya kusikia kwamba, Tanzania imetoa pesa, vifaa na mafundi ambao walienda kufufua reli ya Uganda toka Port bell hadi Kampala, ili treni zinazitoka Dar, zikifika Mwanza zibebwe na meli maalumu hadi port bell na hatimaye kufika Kampala. Tafadhali tuupatie jina huu umoja wa sasa, ili tuutofautishe na" CoW".
Jioni ukiendea marupupu kwa dikiteta jiwe u make sure umemkaribia kwa skio umkumbushe ivi,Mombasa ndio Ile port kubwa huu ukanda na itaendelea kuwa kubwa Hadi yesu arudi,pili umwambie over 80% ya mizigo ya Uganda na south Sudan inapitia Mombasa port na itakuwa Ivo TANGU YESU ARUDI....ambia jiwe na sisiemu yote kwa ujumla waache kufanyia midangayika sarakasi na michezo ya kuigiza
 
Back
Top Bottom