Tanzania yagoma kufuta visa kwa Wa-South Africa kuja Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania yagoma kufuta visa kwa Wa-South Africa kuja Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Synthesizer, Jun 17, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,017
  Likes Received: 2,346
  Trophy Points: 280
  Juzi hapa kulikuwa na habari katika IPP Media kwamba mwaka 2010 waliandika kuwakandia Wa-Afika Kusini kutuwekea masharti magumu ya visa kwenda bondeni wakati tuliwasaidia sana katika suala la kupigania uhuru wa nchi yao. Baada ya taarifa hiyo ya gazetini, Afrika Kusini walitoa suala la visa, na sasa Watanzania wanaruhusiwa kwenda bondeni bila visa.

  Sasa kimbembe ni kwamba, Tanzania imegoma kuwaondolea visa Waafrika kusini kuja Tanzania, kwa kisingizio kwamba wao wanafaidika kuja Tanzania kuliko sisi Watanzania kwenda bondeni. Ukweli ni kwamba serikali ya Tanzania wanajua ubalozi wa Tanzania pale Pretoria bila hela ya visa za Waafrika kusini utakuwa kama mtoto yatima omba omba.

  Msishangae Afrika Kusini wakirudisha visa tena kwenda bondeni, kwa msimamo huu wa Tanzania kwa kile kinaitwa "reciprocal arrangement".
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  sawa sawa kabisa na serikali haijakosea kabisa na kama vipi pesa ya viza iongezwe. Hawa wa south ni wajinga sana tuliwasaidia sana ila wamesahau fadhila zote wanatuchukia sana sisi wabongo wanaweza kukuua bila hata sababu ya msingi
   
 3. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,017
  Likes Received: 2,346
  Trophy Points: 280
  Black Bat, nadhani nayaelewa matatizo ya hawa jamaa dhidi ya watu wa nje. Hadi sasa hata sielewi kwa nini sisi tunajipendekeza hata kuita barabara, viwanja vyetu kwa jina la Mandela wakati wao hadi leo hakuna hata mtaa unaitwa Nyerere street kumuenzi Nyerere ambaye aliwapigania sana! Kwani Mandela alitusaidia sisi au sisi tulimsaidia yeye? Angalia barabara kubwa Maputo Mozambique inayopita mbele ya Ikulu inaitwa Nyerere Avenue!

  Ningekuwa JK ningetoa amri barabara ya Mandela ibadilishwe tena jina kuwa Port Access Road kama zamani, na majina ya viwanja pia, hadi siku nimesikia barabara ya toka Johannesburg kwenda Pretoria inaitwa Nyerere Highway!
   
 4. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  just a little research, would have costed you nothing .... kubwabwaja ni kubaya sana!

  Julius Nyere Avenue Formerly Warwick Avenue:

  1. Warwick Avenue is now Julius Nyerere Avenue
  2.
  Also named after one street in Durban, SA
  (Julius Nyerere Street, Durban , South Africa)

  Source: Julius Nyerere
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Ndo matatizo ya Tanzania, sasa kama wenzetu wanaturuhusu kuingia bila Visa kwanini na sisi tusiwaruhusu? Win-win, sio kubaniana.
   
 6. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,860
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kama unadhani watakaokuja ni wale weusi upo sawa, ila kwa ufahamu wangu, wale weupe wenye ubaguzi ndio watajaa hapa bongo na unajua wengi wao walivyorithi dhambi ya kaburu Botha!
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Visa hizi ni za kutembelea tu, kwa mfano ya Mtanzania kwenda South ni 90 days, so usiwe na hofu ya watu kujaa.
   
 8. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,860
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Owkaay! Kama ni hiyo then itakuwa poa sana kwani tunaweza kuongeza pato kutokana na biashara ya utalii.
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Code:
  [IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/misc/quote_icon.png[/IMG] By [B]Synthesizer[/B] [URL="https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/279895-tanzania-yagoma-kufuta-visa-kwa-wa-south-africa-kuja-tanzania.html#post4069450"][IMG]https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/buttons/viewpost-right.png[/IMG][/URL] 
   [B]Black Bat[/B], nadhani nayaelewa matatizo ya hawa jamaa dhidi ya watu wa nje. Hadi sasa hata sielewi kwa nini sisi tunajipendekeza hata kuita barabara, viwanja vyetu kwa jina la Mandela wakati wao hadi leo hakuna hata mtaa unaitwa Nyerere street kumuenzi Nyerere ambaye aliwapigania sana! Kwani Mandela alitusaidia sisi au sisi tulimsaidia yeye? Angalia barabara kubwa Maputo Mozambique inayopita mbele ya Ikulu inaitwa Nyerere Avenue! 
   
  Ningekuwa JK ningetoa amri barabara ya Mandela ibadilishwe tena jina kuwa Port Access Road kama zamani, na majina ya viwanja pia, hadi siku nimesikia barabara ya toka Johannesburg kwenda Pretoria inaitwa Nyerere Highway!  road.JPG
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Kama ni visa ya kuja kutembea tu siku mbili tatu sawa tuwaruhusu,ila kama ni kuishi ''BIG NO''
   
 11. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,017
  Likes Received: 2,346
  Trophy Points: 280
  Nimekuelewa Mkuu, ahsante kwa kunifahamisha. But why Durban, and not Johanesburg or Pretoria? After all, Pretoria is the centre of the South African government. Nyerere Street or Avenue in Durban is still marginalization of this icon - ndio maana sikujua kuna avenue inaitwa Nyerere South Africa!
   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,599
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Nchi zote za kusini tulizo sacrifice resources zetu kuwasaidia kupata uhuru wanatucheka na kutudharau sana!! Kwanza South ukifungua mipaka tu wale ni mwisho kwa crimes!!! Tupilia mbali, warudishe tu visa zao hatuna shida!!
   
 13. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  It's amazing how a little research can do.
   
 14. Fofader

  Fofader JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 832
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Black Bat acha hasira! Kwani ulilazimishwa uwasaidie? Je kwani ukisaidia ni lazima upate malipo in kind? Tenda wema uende zako.
   
 15. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu nashukuru umenisaidia, maana nilishaanza kubadilika rangi kwa povu alilokuwa anatoa jamaa, nikawa nahaha kusaka picha ya huo mtaa, maana nimebahatika kuwepo. Inatosha kwa sasa, nikihamia kwenye pc nitakugongea like, maana kimobitel changu kinazingua.
   
 16. H

  Hute JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2014
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,039
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  wanatakiwa waje bila visa, ni bora mara mia wasouz waje bila viza kuliko mkenya na mnyarwanda. nafikiri kama counter-attack ya hawa coallition of the willing, tunatakiwa tuwape wasouz parmanent waiver ya visa kabisa waje kama vile wewe unavyoenda tanga na arusha na ikiwezekana tuungane kabisa tuwe na umoja wetu zaidi, kwa namna hiyo tutaweza kuwadhibiti vizuri hawa coalition of the willing/coalition of ICC suspects.
   
Loading...