Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

Nakecha Kiingereza utafikiri mazuri, na bado kuna watu wanaamini Jiwe anatambua uwepo wa vyama vingi au anaweza akakubali kufanyika kwa uchaguzi wa haki au akakubaliana na matokeo kama hatakuwa ameshinda.
Kwa wale mnaoamini ataachia ngazi after two terms you better thing twice.
 
Bill Gate amepata utajiri akiwa ni technician tu wa computer. Newton hakuwa hata na cheti. Hivyo kwa binadamu kitu muhimu ni kuwa na akili timamu tu ambazo mara nyingi mtu huzaliwa nazo! Vyeti vimeletwa tu kwa ajili ya utambuzi lakini nowdays watu wanafikiri vyeti ndiyo maarifa which is not true.
Rais wetu angeiona hii comment nadhani ingemsaidia kubadiri mtizamo wake kwenye vyeti na ma PhD.
 
Nikiri waz na mm ni mmoja wao wa watu waliokuwa wakiona mahiga ana akil sanaa.

Heb nambie kwan katika hil anahusikaje mzee??
Hujaona anahusikaje au hujasoma alivyokuwa anasema watu waache kupotosha Nchi haijajitoa...!!! Sasa nini hiki je pasipo hata kufikir analazim kukir eti sio kwel Kati ni sahih anaogopa watu wasihoji au?
 
Maandalizi ya Tanzania kuongozwa 'mazima' na Serikali ya Kidikteta.
ultimatum stage for Tanzania to be under autocratic regime, whats the shamefull
 
Awali katika jamiiforum niliandika kuwa huyu sio raisi stahiki wa tanzania. Ma CCM yakarusha mawe . sasa tunaanza kuona uchwara halisi ulivo. Basi watz tusinyamaze mpaka kieleweke.
 
Hayupo sawa yule mzee, aidha ni mgonjwa,uzee au duress. Huwezi kumsifu Hitler au hata Mussolini. Mamilioni ya watu wasio na hatia walikufa kwa sababu ya hawa watu. Kama hauwezi ku condemn ubaya na ukatili, bora kukaa kimya.
Kwa ujumla nchi yetu sasa hivi ni nyota inayofifia kwenye mambo mengi ya haki za binadamu!
 
Lakini mimi binafsi kwa yote yanayoendelea kutokea Tanzania nasema acha yatokee acha yaje. Sababu ki historia naona nipo Mwaka 1219 huko kipindi cha Ulaya kina practise this kind of BARBARISM na SATANISM na UKATANISM life sttyle. Ila n
 
Haya yametimia, sasa ukikosa haki mahakama za rais Magufuli unaenda wapi?!
Naona kina Seth, Rugemalila, Uamsho na wengine hawana pa kuishitaki Tanzania tena licha ya kuonewa na mamlaka za kiserikali kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania.

Halafu kwanini waziri wa mambo ya nje ndiye aandike barua Tanzania kujitoa, wakati tunaye waziri wa sheria na katibana Tunaye mwanasheria mkuu wa serikali?!
 
Ijitoe na UN pia
Hawamu hii hili sio gumu kwao, wanajifungia nyumbani na kuandika barua tu.
Hawahitaji bunge, kwa sababu kila mteule ni muhimili unao waza kulinda maslahi ya mtu mmoja tu, wakiona kuna uwezekano kushitakiwa kwa uvunjifu wa sheria wanajiondoa hata usiku wa manane.
 
Yes na alikuwa mtoaji hela ya uendeshaji kwa asilimia kubwa (Unafiki wa hawa jamaa ni hatari sana)
Kweli jamaa wanafiki yaani na pesa wanatoa wao, lakin wao hawataki?
Wanakuwa kama English people wanasisitiza wanafunzi wasipigwe mashuleni na majumban lakin wao watoto wao wanapigwa kama kawaida
 
Kweli jamaa wanafiki yaani na pesa wanatoa wao, lakin wao hawataki?
Wanakuwa kama English people wanasisitiza wanafunzi wasipigwe mashuleni na majumban lakin wao watoto wao wanapigwa kama kawaida
Wanajua madhara yake, Bush Jr alitawa huko na askari wao
 
Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
 
Back
Top Bottom