Uthibitisho wa post yako tafadhali. A u ni tetesi?
Zitaje tu hata chache kwa ukanda wetu wa Afrika mashariki...!!?Kwani hakuna nchi ambazo hazina huo mkataba na zinapata misaaada? Zipo kibao tu mbona na zinapata misaada na hisani kibao
Uthibitisho wa post yako tafadhali. A u ni tetesi?
Zitaje tu hata chache kwa ukanda wetu wa Afrika mashariki...!!?Kwani hakuna nchi ambazo hazina huo mkataba na zinapata misaaada? Zipo kibao tu mbona na zinapata misaada na hisani kibao
Rais wetu angeiona hii comment nadhani ingemsaidia kubadiri mtizamo wake kwenye vyeti na ma PhD.Bill Gate amepata utajiri akiwa ni technician tu wa computer. Newton hakuwa hata na cheti. Hivyo kwa binadamu kitu muhimu ni kuwa na akili timamu tu ambazo mara nyingi mtu huzaliwa nazo! Vyeti vimeletwa tu kwa ajili ya utambuzi lakini nowdays watu wanafikiri vyeti ndiyo maarifa which is not true.
Hujaona anahusikaje au hujasoma alivyokuwa anasema watu waache kupotosha Nchi haijajitoa...!!! Sasa nini hiki je pasipo hata kufikir analazim kukir eti sio kwel Kati ni sahih anaogopa watu wasihoji au?Nikiri waz na mm ni mmoja wao wa watu waliokuwa wakiona mahiga ana akil sanaa.
Heb nambie kwan katika hil anahusikaje mzee??
Ila US ndio aliye pioneer uanzishwaji wakeTrump hajajitoa ila US haijawahi kuwa member wa ICC
Yes na alikuwa mtoaji hela ya uendeshaji kwa asilimia kubwa (Unafiki wa hawa jamaa ni hatari sana)Ila US ndio aliye pioneer uanzishwaji wake
Kwa ujumla nchi yetu sasa hivi ni nyota inayofifia kwenye mambo mengi ya haki za binadamu!Hayupo sawa yule mzee, aidha ni mgonjwa,uzee au duress. Huwezi kumsifu Hitler au hata Mussolini. Mamilioni ya watu wasio na hatia walikufa kwa sababu ya hawa watu. Kama hauwezi ku condemn ubaya na ukatili, bora kukaa kimya.
Hawamu hii hili sio gumu kwao, wanajifungia nyumbani na kuandika barua tu.Ijitoe na UN pia
Kweli jamaa wanafiki yaani na pesa wanatoa wao, lakin wao hawataki?Yes na alikuwa mtoaji hela ya uendeshaji kwa asilimia kubwa (Unafiki wa hawa jamaa ni hatari sana)
Wanajua madhara yake, Bush Jr alitawa huko na askari waoKweli jamaa wanafiki yaani na pesa wanatoa wao, lakin wao hawataki?
Wanakuwa kama English people wanasisitiza wanafunzi wasipigwe mashuleni na majumban lakin wao watoto wao wanapigwa kama kawaida