Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

Watataka kujitoa na ICC??
Nchi inapelekwa kibabe hawataki kusemeshwa wala kuulizwa??
Huo ndo utwala bora, kujitoa African Court ili waendeleze dhuluma na maonevu??
Hayo kamati kuu ya CCM inayajua, Pole Pole na Bashiru wanajua??
Kwani Watanzania ni watumwa wamenunuliwa wafanyiwe watawala watakavyo??
Ehee Mungu iokoe Tanzania!!!
 
Ukijaribu kuuliza wasifu wa Mbowe, hasa ashule aliyosomea kidato cha nne na matokeo yake kabla hajaenda kujiunga kidato cha Tano, Jamii Forum aidha wanauondoa uzi au wanakupa ban? Kuna nini Jamii Forum mnazuia taarifa za watu kufahamu historia ya shule ya Chairman Mbowe?
Elimu ya baba yako tu huijui unataka kujue elimu ya kiongozi anaemnyima baba yako usingizi..pumba kweli wewe!
 
Elimu ya baba yako tu huijui unataka kujue elimu ya kiongozi anaemnyima baba yako usingizi..pumba kweli wewe!

Maneno yote haya kwa sababu ya kutaka kufahamu jina tu la shule ya mwenyekiti? Kuna tatizo gani? Jina tu la shule linakukamua povu kiasi hiki?
 
Serikali ya JMT imekataza mtu au Taasisi yoyote kupeleka shauri dhidi yake katika Mahakama ya Afrika.

Imekuwa nchi ya pili baada ya RWANDA.
Suala hilo limedaiwa kuwa ni mwiba kwa wanaharakati na wapenda haki, aidha imedaiwa kwamba ni kuwadhibiti wanaharakati kufurukuta baada ya kuwabana ndani.

Taarifa zinadokeza kwamba ni katika imani ya Serikali kuwapa mbinyo wale wote wanaodai uhuru wa kuongea na kutoa maoni.

Wanaogopa nini
 
Issue kubwa ni kuondoa ukomo wa Urais, hizi nyingine ni sarakasi tu za sitaki nataka.
 
Soon watajitoa na kwenye bara lenyewe!
Ha haha, tutasikia "serikali ya JMT imeamua kujitoa barani Afrika na kuhamia Marekani kusini, hii inatokana na mataifa ya Afrika kuwa na wivu sana jinsi awamu ya tano chini ya Rais wake Amiri Jeshi Mkuu Dokta John Joseph Pombe Magufuli (PhD) inavyo piga hatua za maendeleo kwa namna ambayo haijapata kutokea kabisa popote pale.
Mipango ya kuihamisha nchi kwenda bara hill inaendelea.
 
Tunaenda kubadirishiwa katiba. Rais wakudumu na hatuna pakupingia. Mahakama zetu zitatupa kesi na tusitafute haki popote.Tanganyika ndio basi tena.
 
Back
Top Bottom