Tanzania yaanza kutafuta Ndege iliyo potea

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
1493176_267243390103939_1194864164_n.jpg
 
Tuwache utani kwenye huzuni.

Wengine tuna wajukuu wanaosoma Malaysia ambao wana marafiki, wazee wa marafiki, ndugu za marafiki, majirani zao, yaliowakuta haya majanga, tuungane nao kuwafariji na kuwaliwaza na si kuwafanyia mzaha.
 
Du kobun, are you serious!!! Tanzania!!! Meli tu inazama hapoa jirani hatuwezi!!! Mtumbwi tu ukipata ajali ni mpaka wafe wote!!! Ajali ikitokea kama kuna vifo mpaka askari wafike kuchukua mwili ni masaa!!! Eti kutafuta ndege!!! thubutu!!!
 
suala ni kutafuta ndege iliyopotea kwani lazima iwe imetumbukia baharini?, lazima iwe imezama? si hata fukweni inaweza kupatikana na majahazi na mitumbwi ikatumika???? nimefikiria nje ya box
 
mbona wadau wamekaa kimya?? maana ile ndege ilivyo tua arusha pakawa na special thread na watu wakasemaaa weeee hadikufikia kufungua na kwenda ifunga ndege KIA....
sasa mbona hii kimya hakuna wajuzi?? au imepotea katika pembe tatu za bermuda??[h=1]Bermuda Triangle[/h]
 
Kusema ukweli hao watu wana nafasi nzuri zaidi ya kuona mapande ya ndege sawasawa kuliko wanaokuwa kwenye madege yao huko juu.
 
Back
Top Bottom