Tanzania yaanguka kwenye chati za "Urahisi wa kufanya Biashara" Duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania yaanguka kwenye chati za "Urahisi wa kufanya Biashara" Duniani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kang, Feb 18, 2012.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,118
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Rwanda wako freshi sana, Huu ufisadi un atuangamiza, na hakuna anaye shughulikia haya viongozi wanacho anagalia ni maisha yao na familia zao hamna anaye care,

  Rwanda na kupigana vita bado wanatupita mbali sana na Rwanda wangekuwa na resources kama za Tanzania wange kuwa wanaitafuta south africa kwa uchumi imara, wakati sisi tunafanya political economy, na kila kitu ni siasa Umeme siasa, Kodi siasa, Mikopo siasa
   
 3. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli nashindwa kuelewa ni nini kinachoendelea nchi! Ni kweli mazingira ya kufanya biashara yamekuwa magumu sana kwa wawekezaji wa nje, lakini hasa kwa wawekezaji wadogo wa ndani. Kuna watu sijui ni kwamba hawajui implication ya hii kitu au uzembe tu katika taasisi zao.

  Hebu fikiria mipango kama Business Environment Strengthening Programme (BEST) na Property and Business Formalisation Programme (PBFP) inavyokula hela za walipa KODI lakini impact na output zake bado ni ndogo sana. Ina maana Eng. Salema na Lyimo hamuoni haya?

  Yaan nchi kama RWANDA ukienda kusajil kampuni, inakuchukua takribani masaa nane to get it done (and when I say to get it done, i mean all the paper work), lakini Tanzania kufanya Name Search tu, ni zaidi ya siku tatu na bado tunasema eti tuko kwenye information era.

  Sijui hawa watu huko wizara ya viwanda na biashara wanafanya nini? Kwa mfano Bunge lilipitisha sheria moja iitwayo BARA ( Business Activities Registration Act, 2007) lakini mpaka leo (%years later) haijaanza kutumika. Jamani hata kwa pilot project zinawashinda? Sheria hii pamoja na mambo mengine ilikuwa ina-decentralize shughuli za BRELA ili watu waweze kufanya usajili katika wilaya zao bila kulazimika kwenda Dar es Salaam, tena in ONE STOP SHOP.
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  True mkuu, kwa kweli Tanzania kuna Taasisi nyingi za kibiashara lakini wanacho fanya hakionekani,
  1. BEST-
  2. SIDO
  3. MUVI- MUUNGANO WA VIKUNDI YA UJASIRIAMALI VIJIJINI

  Na zingine nyingi hawa watu ukiona ripot zao utakubali kwamba wanafanya kazi ila ni usanii mtupu na wanaongoza kwa kutengeneza Data,
   
Loading...