Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,981
- 45,869
Tanzania ambayo kila mwenye sifa na uwezo anapata anachostahili...
Tanzania ambayo nafasi za ajira na za uteuzi haziangalii majina ya mwisho ya mhusika, iwe kwa dini, kabila au ukoo...
Tanzania ambayo uwezo wa fedha na historia ya familia katika siasa za nchi hauna nafasi bali uwezo binafsi.
Mgawanyo wa rasilimali za taifa unawafikia wote kwamba huduma za afya, elimu na mengineyo yanapatikana kwa wote na si kwa wachache pekee...
Ni Tanzania ya kufikirika au inawezekana??