Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Naomba kujuzwa kwa ujumla wetu humu kama kuna mtu eneo anakoishi kuna kiwanda chochote kimejengwa na hii Tanzania ya viwanda.
Nauliza kwa nia njema tu, maana kwangu hakuna nilipoona kiwanda zaidi ya kufungwa kwa viwanda vidogo kwa ongezeko la kodi na kupungua kwa wateja.
Tafadhali nazungumzia ujenzi wa viwanda, isije ukaingia ushabiki kuwa "tumesaidia sana kudhibiti upinzani, tumeongeza kodi, tumeweza dai wadaiwa wa HESLEB, tumewafunga wapinzani wa serikali na wauza madawa".
Tafadhali Nijuzwe kilipo kiwanda kipya kilichojengwa chini ya awamu ya mh. rais wa sera za viwanda.