Tanzania ya viwanda: Ningependa kuvijua viwanda vya Matela Tanzania

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Hivi Super Star Trailers si kiwanda cha Tanzania?

Hivi Simba Trailers siyo kiwanda cha Tanzania?

Super Doll Trailers hivi kipo wapi?

AM Trailers kipo Tanzania?

Wakati wa Quality Motors je hawakutengeneza Trailers?

Ben Bros ni ya wap?

E51fXOiXIAAjbxi.jpg
bike4-1.gif

Naomba niwekewe hapa viwanda vingine vingi vya trailers na body ambavyo vipo Tanzania. Kuna sehemu nahitaji kuvipeleka kama Case study.
 
Shujaa Mwendazake Naona unajaribu kufukua makaburi,taratibu watu wanaogopa kukosolewa.Wape tu ushauri wa nini chakufanya.Ila usiwaulize habari ya vile viwanda elfu nane,na mia kila mkoa.Vinginevyo kifungo cha media kitarejelewa kwa kasi ya 4G.
 
Ni aibu kwa serikali kujivunia kiwanda cha tela 🤣🤣 wakati hata mafundi wa mitaani wanatengeneza bila shida....tunahitaji kiwanda cha kutengeneza magari, injini n.k na sio tela.

Wanamuaibisha My best president mama samia suluhu hassan
 
Sio tu kumwaibisha naamini lipo genge lililo amua kumchonganisha na wananchi,akikubaliana nalo,hata awamu iliyotangulia itaweza kuwa na nafuu.Muhimu aendelee na mwendo alioanza nao,kwani Naona dalili mbaya ya mabadiliko ya mwelekeo wa mwanzo.
 
kwa kweli
 
Hivi Super Star Trailers si kiwanda cha Tanzania?

Hivi Simba Trailers siyo kiwanda cha Tanzania?

Super Doll Trailers hivi kipo wapi?

AM Trailers kipo Tanzania?

Wakati wa Quality Motors je hawakutengeneza Trailers?

Ben Bros ni ya wap?

View attachment 1846800View attachment 1846819

Naomba niwekewe hapa viwanda vingine vingi vya trailers na body ambavyo vipo Tanzania. Kuna sehemu nahitaji kuvipeleka kama Case study.
Made in Tanzania au assembled in Tanzania?
  1. Tyre imetoka nje
  2. Ring imetokannje
  3. Nut na bolts ni kutoka nje
  4. Dif imetoka nje
  5. Chuma chote hapo siyo cha ndani
  6. Hata mapambo yote hapo yametoka nje
  7. Suti na mashati hata viatu vya waliozindua vimetoka nje
  8. Lotion waliyojipakaa wazinduaji imetoka nje
 
Back
Top Bottom