Tanzania yasitisha ujenzi wa bandari kubwa Africa, Bagamoyo Port

Kikwete alikua anajaribu sana, kwa hii bandari angetupiga bao la uhakika, awamu ya leo wanatapatapa sana hata sijui vipau mbele vyao nini haswa.
Sisi tukomae na Lamu.

Serikali ya awamu hii, kwangu mimi naona wamejitahidi na wanaendelea kuwa makini kuliko maamuzi mapya yanayofanywa na hata na serikali yenu. GoT this time wapo makini na hata mambo mengi yapo wazi kiasi hata mtu asiye na ujuzi wa kutafuta info..... zinatufikia bila jasho lolote...ukweli na uwazi.
Kuna wanasiasa njaa wanapiga kelele kutupoteza madish wananchi....malipo ni hapahapa duniani na siasa za misifa na kudanganya zishapitwa na wakati. Tunaangalia performance na sio bla bla mtu anaenda na V8 kuzindua choo cha laki 1.

Hebu check video hii Mkurugenzi wa TPA kaelezea vizuri sana issue hii, ndo ujue kuwa GoT wapo makini kuliko governments zote za ukanda huu EA.

UONGO mtupu

Lengo la hiyo bandari lilikuwa ni one road network ya China so bidhaa za China zingekuwa zinapita hapo bure na kitendo hicho kingeuwa bandari ya DAR

Kiasi fran JIWE amekuwa makini hapo

Note
China sio wajinga kuwapa mkopo wa SGR Kenya then katikati ya ujenzi wagome kutoa mkopo hapo ni bandari ya Kenya inatafutwa

Bandari (ya Mombasa) ishachukuliwa tayari na Wachina! Just imagine even trenches are being dug by Chinese, let them learn from Tanzania by following Dr Mumbi Seraki’s channel.
 
Bandari (ya Mombasa) ishachukuliwa tayari na Wachina! Just imagine even trenches are being dug by Chinese, let them learn from Tanzania by following Dr Mumbi Seraki’s channel.

Longolongo hiyo too......
 
Your english is poor. Use swahili. Leaders with no creative ndio nini sasa
YOU TOO MR, FRENCH you don't know grammatical english, u'r pretending to be better like whites. this is not your mother tongue language, why do you cling on us, be careful, ''young slave Bonobos''
 
Huo ndio ukweli tayari bandari ya mombasa
Ni Mali ya China lkn najua viongozi wa Kenya hawezi kukubari jambo hili liwe wazi pia hata China hawezi kukubari kuwa tayari kachukua bandari ili kuficha uhalisia wake
Bandari (ya Mombasa) ishachukuliwa tayari na Wachina! Just imagine even trenches are being dug by Chinese, let them learn from Tanzania by following Dr Mumbi Seraki’s channel.
 
Back
Top Bottom