Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kwa maneno matamu matamu hana mpinzani!
Kama binadamu kaasisi MAZURI MENGI NA MABAYA MENGI!
 
Ni kweli, Mkuu!

8edbb68df9e5e39622624f5371c9ae89.png

Hivi unafahamu kuwa hata ile OASIS VILLAGE AND CLUB ya MBEZI BEACH, DAR ES SALAAM inamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI. Hapa kuna kitu fulani nataka nikuoneshe!
 
Acha uvivu, uzembe na upumbavu. Tangu Nyerere aache urais ni muda mrefu sana na tungekuwa tuna uongozi mzuri nchi unayoitamani wewe ingeshatengenezwa. Nyerere ni mmoja ya viongozi wazuri sana kutokea. Nchi gani za Afrika zilikuwa na viongozi wazuri enzi za Nyerere ambazo unaweza kutoa kama mfano leo? Mimi naona nchi nyingi zina changamoto kuliko Tanzania mara kumi.
Una akili sana wewe sijui una kunywa soda gani? Nyerere alifanya alichoamini tukafika tulipofika! si padogo pale!! Aliheshimiwa na wenye akili zao Dunia nzima. Nani km yeye leo hii? Kambona alitoroka maatizo yetu...angekufia hapahapa na sisi...nyerere aliwezakimbilia ulaya faster akaona ujinga akarudi afe na sisi.
mtu anamsifu jike dume yule??
Mchonga alikuwa sawa sababu kikulacho ki nguoni mwako...alistuka safi mnooo...anafaa kuigwa. Si unaona jiwe katafunwa na kikulacho akalegea yuko wapi leo??
 
Hapana, Mkuu!

Sikuwa naipata hiyo.

Habari ndio hio! Halafu hawa SERENGETI yaani CHUI ndio wanaomiliki MELI KUBWA ya kifahari inayoitwa OASIS OF THE SEAS. Hii ni MELI ambayo ni kubwa kuliko hata ile MELI YA TITANIC na hilo jina la ile klabu ya OASIS VILLAGE ya MBEZI BEACH imetokana na hilo jina la hiyo MELI ambayo wamiliki ni hao SERENGETI yaani CHUI.
 
Oasis OTS niliwahi kusoma taarifa zake kwa uchache katika kijarida fulani.

Asset moja tu kama hii, Inatosha kwa matumizi ya familia miaka hadi miaka na karne hata karne.
 
Kwa mimi binafsi huwa sihafiki hicho kitu, kwa sababu unakuwa na matumaini hewa! Ni bora uwe nacho cha kwako mwenyewe, hata kama ni kidogo lakini kiwe ni cha kwako. Hapo nafsi itatulia.
Tuliza akili!!..... Shetani na jeuri yake yooote ile hafanyi kazi peke yake! Fikiria tu Mungu ni utatu Mtakatifu!! km tumeumbwa kwa mfano wake, weye ni nani Mpaka usiwe na ushirika? hata uwe Daktari, Mwanasheria unatakiwa uwe na innr circle yako ili uvume!!

yaani uwe na cha kwako peke yako? ...familia hujengi peke yako!! utajimbato ili upate watoto? ... lazima Mke Mzuri awepo ili uishi kwa amani na furaha!!...... mkisindikizwa ndoani na watoto!! ndugu na jamaa!!

wageni, Majirani, Marafiki! nk, Kamwe hakuna kitu /Maisha eti ya peke yako hapa Duniani. Mwee unaumwa? waalimu wako wali/wanakudanganya mbaya,

kataa, wapinge!! usikubali kila kitu mengine kataa! ili usonge mbele unatakiwa uumwe sikio na wajanja ili, uingize na kutoa Meli salama! hata uwe km Trump! unahitaji ushirika! weee! usitudanganye hapa!
 
Hawa SERENGETI yaani CHUI wapo mbali sana, tena sana! Siwezi kusema ni mbali kiasi gani lakini wamejitahidi kuwekeza ulimwengu mzima.

Wanamiliki UCHUMI mkubwa sana na hii inatokana na WANASIASA WA TANZANIA 🇹🇿 kuwafumbia macho mambo wanayoyafanya SERIKALINI.
 
Tuliza akili!!..... Shetani na jeuri yake yooote ile hafanyi kazi peke yake! Fikiria tu Mungu ni utatu Mtakatifu!! km tumeumbwa kwa mfano wake, weye ni nani Mpaka usiwe na ushirika? hata uwe Daktari, Mwanasheria unatakiwa uwe na innr circle yako ili uvume!!
Mimi binafsi nina INNER CIRCLE yangu ambayo huwa ni sehemu ya majukumu yangu lakini sio lazima kila kitu kiwe hadharani, itakuwa haileti maana halisi ya MAISHA.
yaani uwe na cha kwako peke yako? ...familia hujengi peke yako!! utajimbato ili upate watoto? ... lazima Mke Mzuri awepo ili uishi kwa amani na furaha!!...... mkisindikizwa ndoani na watoto!! ndugu na jamaa!!
Sijamaanisha hivyo! Na kuoa lazima nitaoa muda sio mrefu lakini mimi ninachokisema ni kuwa - ni vyema na ni jambo la busura kuwa na uhakika wa kile unachokilimiki wewe mwenyewe, iwe ni kwenye mambo ya biashara, familia au hata namna gani.

Ni vyema uwe na vya kwako mwenyewe hata kama ni hisa iwe ni ya kwako, lakini sio kufanya kama baadhi ya wengine wanavyofanya hata hisa unakuta hawana! Yaani wanakuwepo kuwepo tu ilmradi waonekane kwenye VYOMBO VYA HABARI kama redio na televisheni.

Na hii ndio ilitokea, inatokea na itatokea kwenye makampuni ya IPP, MeTL na LAKE GROUP. Yaani ukiangalia wamiliki halali wa haya makampuni ni tofauti kabisa na hao unaowaona hapo.
wageni, Majirani, Marafiki! nk, Kamwe hakuna kitu /Maisha eti ya peke yako hapa Duniani. Mwee unaumwa? waalimu wako wali/wanakudanganya mbaya,
Hakuna kitu cha pekee yako! Unamaanisha nini?
kataa, wapinge!! usikubali kila kitu mengine kataa! ili usonge mbele unatakiwa uumwe sikio na wajanja ili, uingize na kutoa Meli salama! hata uwe km Trump! unahitaji ushirika! weee! usitudanganye hapa!
😂😂😂
 
Mkuu sasa sentensi simple namna hii'' unashindwa kuelewa nini? hkn Msamiati hapo Baba! Ok! makampuni hayo unayo sema ikiwemo IPP hata yakifa au yakachukuliwa wanashida gani wale? Premises za maana ziko mpaka Dubai wewe!! jeza na chaga nini!

wamevuna mangapi? wamesomesha watoto/vitukuu, wao shule bei mbaya kwa hela za kampuni mara ngapi? hata yaki chukuliwa leo, walisha pata na wako mbali kimaisha sasa nini!!

Matajiri wangapi wamefirisika mbaya Duniani hapa? ajabu nini? unaogopa kufilisiwa?? huna Damu ya kitajiri dogo kubali yaishe!! sijui kunyanganywa Makampuni are you serious?

kina Haile selassie, ukoo wa Hitre walikula na kusaza wakawa km miungu watu Duniani, wakatikisa Dunia, lkn leo unawasikia?? choka mbaya hawana hata hela ya panadol,

hutaamini macho yako!! hata kwa machozi ya damu ukiambiwa kuwa hawa ndo koo zilizo tikisa Dunia. si unaona Kambona alivo pigika mjini London!! mtu alikuwa babu kubwa lkn yakapinda, na alikuwa anatega kopo km matonya au maskini yeyote tu!

Mkoani kwenu tu pale, Mara tajiri wenu Mwita Chacha Manko alikuwa na mabasi Mkoa mzima hakuna aliye fanana nae mpaka leo!! alikuwa anaweza jaza mabasi yake tu stand yooote!! kwa Masaa kumi! yanaingia na kutoka!

Leo hii hayapo hata Roli tu!! ni kawaida hiyo kwetu sisi Matajiri tunao tikisa Dunia! huyo Haile selasie, Samwel Doe, Shehu shaghali Sadadm Husein walipigwa umaskini wa ghafla mbele ya macho yao hivi! mpaka leo!! weeeee!!
 
Wakati natembea tembea huku mitaani kutazama mawili matatu! Hebu sikiliza nyimbo ya INJILI kwa siku ya JUMAPILI.
 
Hapana, Mkuu!

Sikuwa naipata hiyo.

2913999_images.png

Je, unakifahamu hiki kitabu cha TENZI ZA ROHONI? Unafahamu maudhui yake? Hebu kwa siku ya leo jaribu kukipitia hata kwa ule ukurasa wa DIBAJI [ PREFACE ] halafu uniambie umeona nini?

Sio kila kitu lazima utafuniwe, MWALIMU mzuri ni yule anayekupa kazi ya kutafuta maudhui mwenyewe! Na ukumbuke hiki kitabu cha TENZI ZA ROHONI kipo hadi kwa lugha za KINYARWANDA na KIRUNDI.

Na kwenye maisha yako! Ulishawahi kukutana na mtu au watu wameshika wameshika BIBLIA mkono mmoja na mkono mwingine wameshika BUNDUKI? Kuwa muwazi tu maana kuna kitu nataka nikufahamishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom