Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,464
- 2,161
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa unapovuka mipaka ya nchi kwa ajili ya shughuli za KIUCHUMI na KIBIASHARA unakuwa umejianika mwenyewe.Ila mambo mengi unayoeleza ni uongo wewe si ulisema Roman abramovich pale Chelsea ni mfanyakazi Tu angalia Sasa kinachotukuta.
Kwa sababu ukiachilia mbali kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿, MATAIFA mengine huwa wana MTINDO WA KUFUATILIA KWA MAKINI NA KINAGAUBAGA shughuli zote za KIUCHUMI na KIBIASHARA zinazofanywa na raia wa kigeni.
Kwahiyo sio vyepesi kuleta JANJA JANJA YA HAPA NA PALE kwa nchi ya kigeni au SIJUI UMEINGIA MLANGO HUU, HALAFU UNATOKEA MLANGO ULE!! Hapana, MAMBO huwa hayaendi hivyo.
Sasa, kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walifanikiwa kuakisi UTAMADUNI WA KIINGEREZA 🇬🇧 tangu siku nyingi, ndio maana mambo yao pamoja na shughuli zao huwa zipo wazi sana na zinafahamika hata kwenye TAASISI ZA KIULINZI NA KIUSALAMA.
Jaribu kuangalia hiyo VIDEO hapo juu - hiyo ni kampuni ya usafirishaji wa abiria inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na inafanya vizuri sana kwa upande wa NCHI ZA KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬 na RWANDA 🇷🇼.
Na zinafuatiliwa kwa ukaribu sana na VYOMBO VYA ULINZI kwa kiu ya kufahamu vyanzo vya mapato vya kuendesha kampuni, wamiliki wa kampuni na uhusiano wa kibiashara na nchi husika.
Kwahiyo, hali hii huwa inafanyika kwa MATAIFA yote ya kigeni lakini hali hii ya ufuatiliaji imezidi sana kwa MATAIFA yote ya ULAYA 🇪🇺 na MAREKANI 🇺🇲.