The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 2,997
- 4,166
ccm ileile waze walewale tegemea kuona vitu vile vile.
Hii hesabu umetoa wapi? Unamaanisha mtu atoke Mexico aende Australia kwenye fukwe za bahari hiyohiyo?Kwa taarifa yako, ni asilimia ishirini na tano tu (25%) ya watalii wote duniani ambao hutembelea vivutio kama tulivyo navyo (wanyamapori na maumbo ya asili kama milima) asilimia sabini na tano (75%) iliyobaki hutembelea sehemu za fukwe nzuri (sio chafu kama zetu)
ccm ileile waze walewale tegemea kuona vitu vile vile.
Wanakwenda kwenye fukwe kwasababu ndizo zinapatikana,Kwa taarifa yako, ni asilimia ishirini na tano tu (25%) ya watalii wote duniani ambao hutembelea vivutio kama tulivyo navyo (wanyamapori na maumbo ya asili kama milima) asilimia sabini na tano (75%) iliyobaki hutembelea sehemu za fukwe nzuri (sio chafu kama zetu)
Huko kote sawa la miundo mbinu ya Kenya hasa kuelekea mbugani ni hovyo balaa,sisi kwenye miundo mbinu ya mbugani tupo vizuriHuduma zetu ni mbovu...
Wakaribishaji wetu (Port of Entry) ni wabovu, wana lugha chafu, hawajali, wapenda kitu kidogo....
Kuna mawili, inawezekana wewe ni mwanaccm au una elimu ya miamba hivyo kubishana na wewe ni kupoteza muda.Hii hesabu umetoa wapi? Unamaanisha mtu atoke Mexico aende Australia kwenye fukwe za bahari hiyohiyo?
Watalii wengi wanataka kuona vitu vya asili fukwe ziko kote duniani,
Acha kudanganya
Kweli kabisa, tatizo letu niHuduma zetu ni mbovu...
Wakaribishaji wetu (Port of Entry) ni wabovu, wana lugha chafu, hawajali, wapenda kitu kidogo
Polisi wetu huwasumbua sana Tour Operators
Wizi
Ubovu wa miundombinu kuanzia wanapoingia nchini hadi huko kwenye Utalii penyewe
Fukwe zetu ni chafu sanaa
Siasa zetu ni mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes hoja yako safi sana,CM 1774858 ,
..katika andiko lako umesema 80% ya watalii wanaotembelea vivutio vya Brazil ni WAZAWA.
..Tatizo letu Tanzania ni kwamba tunapozungumzia utalii tunalenga 100% watalii wanaotoka nj