Tumemsikia Rais akielezea baadhi ya changamoto mbalimbali za kiuongozi alipokua anawaapisha mawazirina viongozi wengine.
Wakati wa mchakato wa kaatiba mpya wapo manguli wengi ikiwa ni pamoja na Prof. Kabudi waliandaa rasimu kwa weledi mkubwa nailikua inajibu changamoto nyingi zilizopo kwenye utawala.
Prof sasa ni incharge wa wizara mama ya mchakato ule. Mshauri Rais kuhusu suala la katiba mpya, mwongoze kuanzia pale mlipoishia kama kamati.
Mwandalie mswaada wa sheria itakayokua na maslahi mapana kwa nchi kama mlivyokua mnafanya wakati wa mchakato wa kukusanya maoni.
Wewe ni mbunge wa kuteuliwa itendee haki taaluma yako, onyesha njia kwa wale wanaokuchujulia kama role model. Mlionyesha uzalendo kwenye rasimu ionyeshe tena sasa.
Sehemu kubwa ya wanakamati ni washauri wa serikali iliyopo sasa bila kuweka maslahi yenu malizieni mchakato
Tanzania ya neema na Viwanda inawezekana kukiwa na katiba mpya.