Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,492
- 8,537
Umeandika vzur ...ila sentensi ya mwanzo ya ujinga haikua na ulazima wwote.
Ni ujinga tu... Wakielewa mbona hawatakuwa na shida...!!
Umeandika vzur ...ila sentensi ya mwanzo ya ujinga haikua na ulazima wwote.
Leo hii Kenya inakimbia kwa kasi kwasababu ya County Government, sisi tumekalia mikoa kama vile tupo vitani
Muuliza swali nae ana hoja. Lakini Tanzania tukiwa na rafiki kama China, nae ana mfumo wa majimbo na anaendelea kusonga mbele kiuchumi. Lililo la msingi ni kuwa uwe mfumo wa sasa au uwe mfumo wa majimbo, lililo la msingi ni kuweka utararibu.Ni ukweli mtupu! Karibia maswali yote ya mtoa mada ni ya kijinga na kitoto! Yamejaa hofu tu ya kuhisi kukosa ulaji hasa kwa vyeo vya kupeana, vilivyopitwa na wakati na tulivyorithi kwa Wakoloni kama vile vya Ukuu wa Wilaya na Mkoa!
Kwa Nchi iliyobarikiwa kama Tanzania, kuna eneo ambalo halina raslimali kweli kiasi cha kuwa mzigo kwa maeneo mengine? Kama lipo naomba litajwe hapa jukwaani!
Taifa kubwa duniani la Marekani linatumia mfumo wa Majimbo, na limepiga hatua kweli kweli ya kimaendeleo!
Sisi huku wanasiasa uchwara wa CCM wanatisha Wananchi mbumbumbu eti mfumo wa Majimbo utaleta mgawanyiko na kuondoa Umoja tulio nao!
Mbona Wamarekani ni Wamoja! Na hata wanapokuja huku, tunawatambua kwa Umarekani wao, na si kutokana na Majimbo watokayo?
Watanzania tukubali kubadilika. Tukiendelea kuifanya siasa kuwa kipaumbele chetu na kuwaacha wanasiasa hasa wa CCM kutuamulia kila kitu kwenye maisha yetu, basi ni wachache tu watao endelea kuifaidi keki ya Taifa huku wengi tukitaabika.
Bado ninaukumbuka sana Mchakato wa Katiba ya Wananchi namna ulivyotekwa na kuwa mali ya Wanasiasa na mwisho wa siku kupotelea kusikojulikana.
Je hoja hiyo, kwa sasa utajiri uliopo Morogoro ni sawa na utajiri uliopo Arusha kwa hali hii ya sasa ya mikoa?Kwanza huyo ulimuunga mkono kaandika andiko lefu lakini hajui lolote. Usa sio majimbo yaliyogawanywa. Bali ni states zilizoungana, ukija nchi kama Kenya au nigeria mendeleo ya jimbo moja au lingine ni tofauti tusidanganyane. Hata Usa ni hivyo hivyo. Huwezi kusema utajiri uliopo Chicago ni sawa na New york.
Kwa nchi kama Tanzania wanachokitaka chadema hakina mantiki. Kwani mpaka hivi sasa hakuna serikali za majimbo nini kimekwama katika kutawala na kuleta maendeleo?
Kama jimbo gani?Je, ni nini hatima ya maendeleo ya majimbo ambayo bado yako nyuma na yana uhaba wa rasimali maliasili na miundo mbinu isiyo bora?
Huna unachoelewa matako wewe!Hivi Singida kama Singida Ina rasilimali gani yakuleta maendeleo jimboni kwa mfano?
Huna akili we bwege. Unajua maana ya kuwa na serikali za majimbo? Hiyo mizania utaiweka vipi? Mfano Kenya, Nairobi county isaidie maendeleo Garissa kwa mizania ipi? kama serikali ni moja kufanya diversifivation of economy ni rahisi kuliko unapokuwa na serikali za majimbo.Je hoja hiyo, kwa sasa utajiri uliopo Morogoro ni sawa na utajiri uliopo Arusha kwa hali hii ya sasa ya mikoa?
Sidhani kama suala la kubalnce uchumi kila jimbo na kwa sasa kila mkoa ni tatizo, tatizo kubwa ni jinsi ya kugawanya sawa rasilimali. Mkoa/ jimbo lenye hali mbaya linatakiwa kuboostiwa ili kutoachwa nyuma. Hali ya jimbo/mkoa mmoja kurundikiwa cake kubwa huku baadhi ikiwa hoi kiuchumi nadhani hadi sasa hatujaweza kubalnce. Kwa ufupi ikifanyika balance, iwe kwa sasa mfumo wa mikoa au kama hilo la majimbo, cha msingi ni kuweka MIZANIA iliyo sawa, yule aliyeko nyuma asiachwe!
Kama nchi haizalishi hata uje na mfumo gani wananchi watabaki maskini.
Ni sera fulani ambayo msingi wake ni hulka za kichoyo na kibinafsi za hao walioibuni na kuiweka katika makaratasi.
Kwao binti aliyeolewa na mtoto wao wa kiume huwa hana faida baada ya mtoto aliyemuoa kuwa amefariki dunia, atafungashiwa virago akionekana hana tena sababu ya kuwepo pale nyumbani.
Ni sera ya kibaguzi isiyo na misingi ya utu isiyofundisha umuhimu wa kuvumiliana kama taifa.
Ni sera isiyo na upendo yenye fikra kwamba kila mtu aishi mpaka afe kivyake.
Kenya inakimbia wapi?
Sasa Kenya walianzisha majimbo kwa sababu ya ukabila.
Ami I usiamini hizo ni mbinu za kuombea kura, Ila hata Lissu mwenyewe hataweza kufanya hicho kitu.
Sera ya majimbo ni Sera rasmi ya jinsi gani ya kuiuza nchi kwa mabeberuNimesikia, nimetafakari sipati jibu la kuigeuza Tanzania iwe ya Majimbo, anavyonadi Lissu, mgombea Urais wa CHADEMA. Anadai, kurudisha utawala wa majimbo utawapa wananchi wa majimbo hayo mamlaka ya kuchagua viongozi wao, kupanga maendeleo yao (miundo mbinu na huduma za jamii).
Je, Utaifa uliojengwa na Baba wa Taifa ndio tuuzike rasmi?
Je, jukumu la Mihimili mitatu ya Dola (Serikali, Bunge na Mahakama) litakuwa ni lipi?
Je, nini itakuwa hatima ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Je, ni nini hatima ya maendeleo ya majimbo ambayo bado yako nyuma na yana uhaba wa rasimali maliasili na miundo mbinu isiyo bora?
Je, ni kwa vipi pato la Taifa litagawanywa?
Maswali ni mengi yakihitaji majibu. Kwako Lissu na CHADEMA
Nchi haizalishi kutokana na mfumo mbovu wa kiutawala ambao umejikita kwenye itikadi za kijamaa.Mfumo wa majimbo ni Kama mfumo wa ubepari yaani unareward wale wenye ufanisi.Nchi zote duniani zinatumia hii system sio tunagandamizana kisa fulani hapendi.Kama nchi haizalishi hata uje na mfumo gani wananchi watabaki maskini.
Nakubaliana na wewe Phillipo. Hivi sasa baada ya miaka mingi ya uhuru kune sehemu zimeendelea kuliko nyingine kwa kutumia pato la Taifa. Mfano Shinyanga pamoja na kuzalisha pesa nyingi kwa almasi na dhahabu haijaendelea ukilinganisha na Moshi. Sasa haiingii akilini kwamba sasa Moshi hawataki kuchangia maendeleo y a Shinyanga kwa kujitenga katika mfumo wa majimbo. Kweli kabisa huu ni ubaguzi. TL anataka ma RC na DC wachaguliwe; hii inaleta ukabila kabisa maana hivi Msukuma anaweza kuchagulika kuwa RC au DC Moshi. Mfumo wa sasa unaruhusu mtu yeyote kuwa RC au DC popote; jambo ambalo linaleta utaifa. Kwenye mandeleo nchini kwetu tuende pamoja kwa kugawa pato la Taifa bungeni. Akina TL wasikimbie mijadala ya Bungeni mahali ambapo ni sahihi kwa kugawa pato la taifa kwa Watanzania wote. Sera ya majimbo ni usaliti kwa sehemu ambazo hazijaendelea lakini rasilimali zao zilitumika kuendeleza sehemu zilizoendelea.
Hivi nyinyi nyumbu mnahabari ugomvi unaotokea Kenya ni sababu ya hiyo takataka yenu ya majimbo aka counties.
Msituletee balaa hapa.
Insha ndeefu na mafeelings juu, kumbe utopolo tu
Ni wapuuzi tu hao maccm yanahofu kukosa ulaji,sheria mama za kitaifa kuushi ,kuoa nk popote ilimradi huvunji sheria ziko palepale na hakuna Jimbo litatunga sheria za kukinzana na sera mama za kitaifa .Isitoshe kwa nchi yetu ilivyo na makabila mengi hii ni njia rahisi ya kuondoa ukabila uliojengwa kwenye vimikoa na wilayaNi ukweli mtupu! Karibia maswali yote ya mtoa mada ni ya kijinga na kitoto! Yamejaa hofu tu ya kuhisi kukosa ulaji hasa kwa vyeo vya kupeana, vilivyopitwa na wakati na tulivyorithi kwa Wakoloni kama vile vya Ukuu wa Wilaya na Mkoa!
Kwa Nchi iliyobarikiwa kama Tanzania, kuna eneo ambalo halina raslimali kweli kiasi cha kuwa mzigo kwa maeneo mengine? Kama lipo naomba litajwe hapa jukwaani!
Taifa kubwa duniani la Marekani linatumia mfumo wa Majimbo, na limepiga hatua kweli kweli ya kimaendeleo!
Sisi huku wanasiasa uchwara wa CCM wanatisha Wananchi mbumbumbu eti mfumo wa Majimbo utaleta mgawanyiko na kuondoa Umoja tulio nao!
Mbona Wamarekani ni Wamoja! Na hata wanapokuja huku, tunawatambua kwa Umarekani wao, na si kutokana na Majimbo watokayo?
Watanzania tukubali kubadilika. Tukiendelea kuifanya siasa kuwa kipaumbele chetu na kuwaacha wanasiasa hasa wa CCM kutuamulia kila kitu kwenye maisha yetu, basi ni wachache tu watao endelea kuifaidi keki ya Taifa huku wengi tukitaabika.
Bado ninaukumbuka sana Mchakato wa Katiba ya Wananchi namna ulivyotekwa na kuwa mali ya Wanasiasa na mwisho wa siku kupotelea kusikojulikana.
Jimbo la Calfonia,oklohama,sijui Chicago bado hujaelewa niniNimesikia, nimetafakari sipati jibu la kuigeuza Tanzania iwe ya Majimbo, anavyonadi Lissu, mgombea Urais wa CHADEMA. Anadai, kurudisha utawala wa majimbo utawapa wananchi wa majimbo hayo mamlaka ya kuchagua viongozi wao, kupanga maendeleo yao (miundo mbinu na huduma za jamii).
Je, Utaifa uliojengwa na Baba wa Taifa ndio tuuzike rasmi?
Je, jukumu la Mihimili mitatu ya Dola (Serikali, Bunge na Mahakama) litakuwa ni lipi?
Je, nini itakuwa hatima ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Je, ni nini hatima ya maendeleo ya majimbo ambayo bado yako nyuma na yana uhaba wa rasimali maliasili na miundo mbinu isiyo bora?
Je, ni kwa vipi pato la Taifa litagawanywa?
Maswali ni mengi yakihitaji majibu. Kwako Lissu na CHADEMA
Dhana ileile ya kwamba utajiri wa eneo moja km kilimo cha korosho, kunufaisha Dsm ni tatizo, vivyo hivyo litaibuka pale utajiri wa eneo moja la jimbo utakapotumika kunufaisha eneo lingine, kata kwa kata, kijiji kwa kijiji, kitongoji kwa kitongoji, hadi kaya kwa kaya.Nchi haizalishi kutokana na mfumo mbovu wa kiutawala ambao umejikita kwenye itikadi za kijamaa.Mfumo wa majimbo ni Kama mfumo wa ubepari yaani unareward wale wenye ufanisi.Nchi zote duniani zinatumia hii system sio tunagandamizana kisa fulani hapendi.
Kama haina rasilimali,nambie unakuaje Singida ni mji mkubwa kushinda Moshi,Shinyanga,Sumbawanga,Kigoma,Lindi nk? Usiwe kiazi mkuu hujui hii nchi,kwa mfano pori la akiba la Rungwa liko sehemu kubwa Singida/Manyoni na Lina vitalu vingi vya uwindaji,ardhi ya kilimo ikiwemo alizeti,asali nk nk.Hivi Singida kama Singida Ina rasilimali gani yakuleta maendeleo jimboni kwa mfano?