Tanzania ya leo bila mitandao ya kijamii, hali ingekuwaje?

Ndio maana wanakazana kutaka kuifunga mitandao ya kijamii kwa faida hizo! Ama kweli hii nchi inaendeshwa kihasara hasara tu! nadhani tukibahatika kufika hio 2020 basi nchi hii itakuwa imefililisika kabisa. Hio ndio Tanzania ya Viwanda!
Tanzania ni nchi ambayo ukisema ukweli wanakuzika kama analogia kwenda digital,sisi wanyonge ngoja tuendelee kutoa maoni kabla malaika wa kuzima mitandao hajafika na sambamba tukiwa tunasubiri Tanzania ya viwanda vya kufyatua.
 
Mimi sina tv wala redio,, wala Sinunui gazeti... But huwa napata habari kabla hata ya wenye tv na redio au wanaonunua gazeti.

Tukio linatokea asubuhi alafu gazeti linakuja kulitoa kesho.. Au redio/tv inakuja kulitangaza baadae kabisa.

Mitandao ya kijamii ni fast kupata habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha moto watakiona.Si wana King wao wa Social Networks? Ajilete
Duh hii ndio last comment ya ben saanane JF.... Kumbe alipiga biti wale waliotamani malaika ashuke aizime mitandao ya kijamii!!! Sasa naelewa nani amehusika na kupotea kwake....

Kuna mtu mmoja huwa anasema tumuombee ila kila nkitaka kuanza tu najikuta nasita then naacha.... Ila Mkumbusheni tu kuwa kila nafsi itaonja mauti
 
Back
Top Bottom