Tanzania ya kwanza duniani kwa askari polisi wake kuishi maisha duni

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,912
Jeshi la polisi la Tanzania pamoja na mbwembwe zote wanaishi kwenye mabanda kama bata mzinga, wanazidiwa hata na askari polisi wa somalia
 
TEHEEEEEEEEEEEEEEE TEHEEEEEEEEEEEEEEEEE TEHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE HAHAHAAAAA;;duuuu MKUU UMENIKUMBUSHA MBALI SANA,NIMEKUMBUKA ZILE FULL SUT ZAO ZA MABATI PALE BUGUUNI NA PALE KAHAMA NIMECHOKA HASA NIKIWAANGALIA KWENYE ZILE DEFENDER WAKIJIFANYA MA VAN DAMME NA MA RAMBO HAHAHAAAA ,HAWA JAMAA WANGELIJUA WANGEASI LEO,HALI YAO NI MBAYA DUNIA NZIMA NENDA ZAMBIA NA MALAWI UTAONA ASKARI WANAVYOISHI VIZURI UZUNGUNI HAPA KWETU WAO NDIO TAKATAKA TUPA MBALI ILA WENYEWE WANAJIONA WA KIKWETEEEEEEEEE WA CCM stupid kweli
 
Patric hapo umeongea.Jamaa wakiwa wamesimama nyuma ya defender,
nahisi wanajiona kama wapo PEPONI.
 
Jeshi la polisi la Tanzania pamoja na mbwembwe zote wanaishi kwenye mabanda kama bata mzinga, wanazidiwa hata na askari polisi wa somalia
Hahahahahahahahaaaaaaaa!!!!
Jua likiwaka ndani hapakaliki, utawakuta wamejianika nje na wake zao na watoto. Watoto wenyewe wanasoma shule za SIPIYUUU....lol... Wana sifa haooo!
 
hivi wanazalianaje ndani ya vile vibanda vya uani? tena vya mjerumani. maskini havina hata updates......
vile vibanda huku tunaviita vianalog..... tena vipo kwenye first generation kama unarank na computer generations
 
duh kwl wazeiya iyo, kuna nyumba ziko kaloleni arusha za polisi yani ful uozo, vibanda havina dirisha wala nini, alafu ndani anakaa baba, watoto, mama, mama mkwe, shemeji, etc ful kufanya partition na khanga. N ful kumsikia maza akiwa anaguna wakati akimegwa.
 
jaman jaman tatzo sirikal inawasahau hawa hii kutokana nch yetu haina vita wapo kwaajili ya kuzuia maandamano na ndo mana hata sirikal yetu inawasahau hawa watu. Ila dah! Maisha ya askar wetu bana we acha tuuu watuombe rushwa mana hata sijui nisemeje ila wao ukiwakuta kwny difenda wanajiachia basi wanaona utaaaaaaaaaamu!
 
Serikali yao eti inawalipia umeme na maji bure,ndio maana hawataki kuhama kwny hivyo vibanda,ni aibu ukiwaona askari na heshima zao halafu anakaa kwenye mabanda,wameridhika sana.
 
sasa ingie ndani ya hivo vibanda, uone kituko, jamani miye huwa wananiacha hoi, ukiingia ndani utakutana na faniture za thamani, unakuta bonge la sofa, tv kubwaa, bonge la redio
 
acheni uzushi bana vibanda vyote vilishabomolewa na sasa askari wanaishi katika mijengo ya maana ya ghorofa zilizojengwa na nssf anayebisha anitafute nimpe ushahidi acheni stori za abunuasi za miaka ile tunapata uhuru mambo ya mebadilika jeshi siki hizi linafanya kazi kwa inteligensia na sayansi na tekelinojia
 
acheni uzushi bana vibanda vyote vilishabomolewa na sasa askari wanaishi katika mijengo ya maana ya ghorofa zilizojengwa na nssf anayebisha anitafute nimpe ushahidi acheni stori za abunuasi za miaka ile tunapata uhuru mambo ya mebadilika jeshi siki hizi linafanya kazi kwa inteligensia na sayansi na tekelinojia
Kama upo Ar tembelea maeneo ya kaloleni na faya utayakuta hayo mabanda na police wanaishi humo. Kwanza unakaribishwa na watoto weeengi afu wachafuuuuu!
 
Back
Top Bottom