imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,059
- 69,868
Kwahiyo unakubaliana na mimi kuwa hebu tujaribu kuitawaza familia moja ya Kitanzania ili wawe absolute Power halafu tuwaachie watuongoze tuoneMkuu, kuna nchi moja inaitwa Brunei. Inaongozwa na sultan said ibn khabus. Ni nchi moja maridhawa kabisa.mji wake mkuu unaitwa daru es salaam
Kuna shida moja tunaweza kujikuta kama Swaziland ambako Mfalme majukumu ya Nchi anaacha anaanza kukimbizana na kuwabikiri Wasichana wadogo
Lakini mbona nje ya Bara hili wameweza?