MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,399
Nilipotea kwa sababu za kimtandao na poor connection niliyokuwa nayo. Kwa miezi kadhaa sikuwepo humu.Habari Mkubwa, naomba urejee katika Uzi wetu wa Ndoto, twahitaji msaada wako mkubwa
Hata hivyo hakuna aliyeni tag kule niweze kurudi bali wachache walio nipm.
Nakukumbuka sana wakugoogle.