Tanzania ya ajabu, nchi nzima inaongelea sukari!

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
10,383
16,031
Rais anazunguka kukamata sukari, wakuu wa mikoa wasaka sukari kwenye magodown wakiambatana na wapiga picha, wilayani hayohayo.

Magazeti, tv, radio, mitandao ya kijamii Ni sukari tu. Hivi kuna haja gani ma rc, dc nk kwenda kukamata sukari wakati ana uwezo wa kugiza vyombo vya usalama kufanya kazi hiyo?

Naona kama tumechanganyikiwa
 
Nafikiri walioko chini ya raisi hawana au hawaoni matatizo ya jamii, wanangoja rais ndio alianzishe. Akisema wafanyakazi hewa, basi kila mtu anaamka na kusaka wafanyakazi hewa, akisema sukari hali kadhalika. Inaonesha jinsi wasivyo na ari/ nia ya dhati bali kufuata mkumbo.
 
Mimi mnitoe huko......siongelei sukari wala nini......
Mimi nataka chura afunguliwe........
Kwanza sinywi chai......nipo kwenye dayati..........
 
Uthibitisho wa uwepo wa utumwa wa fikra. Sidhani kama jamii yaweza kupiga hatua ya mendeleo kwa hali hii.
 
Huu ni wakati mzuri kwa kampeni dhidi ya ugonjwa wa kisukari. Mbona hawasikiki? Hamisi na Ummy mpooo?

Sukari ni sumu na maisha bila sukari yanawezekana.
 
Sitaki kuamini kuwa hii ni one man show. Ubunifu badala ya situation utasaidia kujiimarisha
 
Rais anazunguka kukamata sukari, wakuu wa mikoa wasaka sukari kwenye magodown wakiambatana na wapiga picha, wilayani hayohayo.

Magazeti, tv, radio, mitandao ya kijamii Ni sukari tu. Hivi kuna haja gani ma rc, dc nk kwenda kukamata sukari wakati ana uwezo wa kugiza vyombo vya usalama kufanya kazi hiyo?

Naona kama tumechanganyikiwa

Uko sahihi
21 century the burning issue Ni sukari?
What's next? Uhaba wa toothpicks?
 
Back
Top Bottom