Mwanakijiji alishawaambia mkome msichange tena! Hii mliyochanga kwa wahanga wa tetemeko Bukoba mmedhulumiwa na aliyewadhulumu hamna cha kumfanya. Siku nyingine mkitaka kuchangia jambo peleka mchango wako moja kwa moja kwa muhusika, au mpe mtu mwingine unayemuamini apeleke lakini siyo serikali hii.