Tanzania ya 7 ndani ya Africa kwa watumiaji wengi wa internet.

kisu

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
1,002
381
africa2012top.gif
 
Kwa mwendo huu, ifikiapo 2015, tunaweza kufikia watumiaji milioni 10, na wengi wao wenye vipato vya chini na kati ambao wanasapoti CDM, hivyo ni habari njema kwa CDM kama wakitumia trufu hii ipasavyo kufikisha ujumbe.
 
Tujitahidi sana pia kuwa tuna uzalendo wakati wa kupiga kura za mitandao kama wakati wa maajabu mapya ya dunia na vivutio vyake...pia hata kwa wasanii wetu maana hapo ndio tunabaki tunashangaa!!
 
Back
Top Bottom