Tanzania ya 12 kwa idadi ya wakristo duniani na ya 5 Afrika

Status
Not open for further replies.

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Heri ya Christmas na mwakampya

Kituo cha kidunia cha PEW kinachoheshimika duniani kimetoa idadi ya nchi zenye wakristo wengi duniani huku na kuchapishwa na shirika la habari la BBC Tanzania ikiwa ya tano baada ya Nigeria, Congo DR,Ethiopia na Uganda

Kwa upande wa duniani. USA inaongoza kwa kuwa na wakristo wengi pia china imo

USSR
Screenshot_20191218-212002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari kama hii inatusaidia nini kama taifa? dini yangu au yako inafaida gani kwa taifa?

Sijawahi kuona faida ya udini wakati ukimkuta omba omba anakuomba pesa wala utaki kujua dini yake na unamsaidia, nanunua mziki wa diamond pamoja na kuwa dini zetu ni tofauti, napanda mabasi ya Abood pamoja na kuwa na dini tofauti. dini zenyewe za kuletewa halafu zinipotezee muda? by the way dini ya mtu haiwezi kunishawishi nimpende au nimchukie.
 
Hiyo sensa walifanya lini hao mbona mimi na familia yangu hatujawahi kufanya sensa ya kuulizwa dini?.

Watakuwa wamepika data hao.

Kama tunataka kujua idadi ya watu na dini zao basi tufuate ushauri wa Masheikh waliotaka sensa iwekwe kipengele cha dini ili tujue demography za Taifa hili kwenye ishu ya dini. Tusikisie kisie na kutoa data feki
 
Hebu pitia BBC Swahili utakuta kila jambo liko wazi hapo na utabili juu hadi 2050 nchi idadi itakuwaje ?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujuwa baina ya waislamu na wakristo wapi wengi Tanzania basi waulize Wakinga wa Kariakoo ( ambao ni Wakristo) watakupa jawabu.

Na wewe mwenyewe tizama idadi ya shoppers waksti huu wa kuelekea Xmass na wakati wa mwezi wa Ramadhani.
 
Si kweli, TZ ina waislam wengi kuliko wakristo. TZ kuwa ya tano kwa wakristo hakumaanishi kuwa na wakristo wengi kuzidi waislamu.

Ktk mapigano dhidi ya ukoloni haikua rahisi kwa kanisa kupambana na ukoloni kwakua wakoloni walikua na jukumu la kuimarisha na kusambaza ukristo.

Wapigania uhuru wengi Africa walikua against the church.
Duh!, taarifa hii ni muhimu sana, huu ni uthibitisho walioleta uhuru Tanganyika ni Wakristo na sio Babu zake au baba zake wafia dini fulani!.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli, TZ ina waislam wengi kuliko wakristo. TZ kuwa ya tano kwa wakristo hakumaanishi kuwa na wakristo wengi kuzidi waislamu.

Ktk mapigano dhidi ya ukoloni haikua rahisi kwa kanisa kupambana na ukoloni kwakua wakoloni walikua na jukumu la kuimarisha na kusambaza ukristo.

Wapigania uhuru wengi Africa walikua against the church.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawa kutoka nje ya Pwani mkuu..au mikoa ya pembezon na bahari, hujawah toka nje ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom