Tanzania worldcup ingekuwa kama hivi na umeme wa tanesco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania worldcup ingekuwa kama hivi na umeme wa tanesco

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 21, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  tanescowordcup.jpg

  ON THE LIGHTER SIDE: If Tanzania Hosted the FIFA World Cup 2010
  With TANESCO’s perpetual blackouts imagine what would happen if Tanzania was to host the WORLD CUP. I think the situation wousld be as below...
  ingekuwa bongo ndio tunaandaa World Cup 2010 kila mchezaji angekuwa anacheza na Tochi yake hapo kwetu bongo tupo nyuma sana kwa hayo matatizo ya umeme Kasheshe kweli na Bongo yetu .
   
 2. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kweli kabisa
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  hahahahahahahah looohhh
  Nime angali tu kichwa cha thread
  kajua ni mkuu Mzizimkavu..

  Kwa style hii hatutakaa tupate world cup ya aina yeyote
  Tz......
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tanzania KICHWA CHA MWENDA WAZIMU!
   
 5. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ni UPUMBAVU wa viongozi
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nimeipenda mkuu Mzizimkavu
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Asante bibie Afrodent kumbe unavutiwa na picha zangu* nimefurahi kwa kunipa comment yako asante ubarikiwe kwa jina la Bwana Mungu afrodent
   
 8. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ikitokea tochi imeishiwa betri basi unamwambia mwenzio, nimulikie huku!!! halafu anakutosa!!
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Ingelipa zaidi.
   
 10. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2015
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,561
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  hivi tatizo ni nini hasa wandugu umeme kukatika katika kila mara?
   
 11. n

  nguvu JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2015
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 4,791
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 280
  Kwa kipa inakuwaje sasa? Au unazifunga kwenye goli
   
 12. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2015
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,354
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  alaf namna ya kumtambua refa gizani ni shida...tena watazamaji watakuwa na kazi ya kuwatambua wachezaji kwa kukisia "hivi yule siyo Messi kweli, anaonekana mfupi mfupi hivi"
   
Loading...