Tanzania womens bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania womens bank

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbwanajr, Aug 15, 2009.

 1. M

  Mbwanajr New Member

  #1
  Aug 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hy! al jamii forum members! i guess this is our platform 2express our thoughts and even To get answers for our questions from members. IS THERE ANY NEED TO ESTABLISH WOMEN BANK?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  sasa na sisi wanaume tuanzishe benki yetu?? Mimi nasubiri sasa nafasi za ubunge viti maalum kinababa nami nichangaamkie!

  Hivi tukianzisha chama chetu kutetea hati zetu sisi wanaume..je mtaniunga mkono??
   
  Last edited: Aug 15, 2009
 3. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yeah. Binasi nitakua mtu wa 2 kujiunga nawe.
   
 4. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  very insightful..NOT
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  two things:

  1) nadhani hii itakuwa inaangukia kwenye ANTI-DISCRIMINATION LAWS if not KATIBA,

  2) kwa sababu wanawake ni weak in almost everything (kwa sababu mbali mbali including mfumo dume tulionao) this bank is bound to fail  hiyo point ya pili kila mtu anajua lakini hakuna anayethubutu kusema hivyo nishakurahisishieni kazi...yap I've said it


  Halafu watatumia pesa za umma kuisetup hii benki au itakuwaje?
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  1. Kwa sababu uchaguzi wa 2010 unakaribia ni muhimu kufanya jambo ambalo litavutia wapiga kura tena walio wengi

  2. Hata ikifa, uchaguzi wa 2010 utakuwa umepita na tumeshapata madaraka, basi tutakuja na lingine 2015!:rolleyes:
   
Loading...