Tanzania without a Resource Curse

Is the confusion created or just existed randomly?

I'm smelling the rabid dogs hovering and could torn this land in shreds.
 
Kwenye oil kuna group mbili kubwa za kampuni kuna kampuni ambazo zinaitwa "Majors" ambazo zinafanya kila kitu na ku sign mikataba na kuna kampuni ambazo ndizo zinafanya kazi. Kampuni nyingi zime specialize kwenye kitu kimoja tu hivyo hizo kampuni kubwa Shell, BP, Petrobas, Petro China, Exxon Mobile, Chevron na Conoco Philips zinawapa tender. Hii ni list ambayo imekuwa attached ni mfano mzuri kuwa Oil and Gas inaweza kuleta kazi na maendeleo. Angalia Texas pekee kuna kampuni zaidi ya 10,000
 

Attachments

  • OGDirectory20120730.xlsx
    673.1 KB · Views: 663
My point ilikuwa hivi....
Wachina na Wajapan na wengine wa Asia...
wanajua 'risks' za negotiation za kibiashara kwa kutumia lugha ambayo siyo yako

na wa la sio suala la governance ....ni suala la mikataba na negotiations za kibiashara na nchi zingine.
na 'risks' za kuzidiwa ujanja simply sababu lugha inayotumika huifahamu kama mwenzio unae ingia nae mkataba...

Si ndio nakwambia: shida ni kwamba hao wachina wanaweza kua walisomea hilo suali kwa lugha ya kichina, au hata kama walilisomea kwa lugha la kingereza basi walipata muda wa kulichamgua vema katika lugha yao kiasi kwamba team yote ya utawala ina uelewa mmoja kuhusu suali hilo.
Tofauti na huku kwetu, tunasoma katika lugha geni, na matokeo ni kwamba ni rahisi zaidi kwetu kuyazungumza katika lugha hiyo. Let's not mystify things, understanding ya concept inatosha kwa kujadili maswali haya. Tatizo letu ni kwamba tunatuma people working in public administration and politicians kujadili technical issues. Ila tukituma technical people (as others do), watajadili hata kwa kingereza (lugha wanayo tumia in their profession) na matokeo yatakua sawa tu.
 
bora hii master plan ikajadiliwe bungeni, na wengine tupate japo copy hata kama tutasemea home tu.

Makala nzuri.
Hivi mkuu, gesi ya Tanzaia inauzwa wapi? Sijaona faida yake pamoja na watu wa Mtwara kutishwa
 
Back
Top Bottom