Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
Hapo hata mie siwaelewi wanavyosema vitalu vya utafiti visimame kutolewa
Wakati exploration inachukua muda sana
Wanaweza kusimamisha kutoa vitalu vya uchimbaji wa mafuta kwa muda ila wakaruhusu vitalu vya utafiti vikaendelea kutolewa.
Halafu hata kwa sehemu ambazo tayari uchimbaji ushaanza, huwezi wanyima vitalu vya utafiti sababu uchimbaji huwa ni mwendelezo wakati unachimba unazidi tafuta 'resouce' zaidi
Wanaweza wazuia tu kuanza uchimbaji hadi hiyo plan itakavyokuwa tayari.
Sinan uhakika na pesa za utafiti kama zitakuwa sehemu ya 'investment' au 'expense'
Lakini hapo hapo, wataalamu wa wizara watueleze wanamaanisha nini wanapotoa sharti la minimum expenditure per sq km kwa kitalu cha utafiti? Then wanaweza i-treat kulingana na hilo sharti la sasa.

Zitto una hoja nzuri lakini naomba tuelimishane kwenye sehemu mbili muhimu (a) Kuhusu ujenzi (b) Wataalamu
Mwanzo:
Sheria ya mafuta haitakiwi kuchukua zaidi ya mwaka kuweka!! Tanzania sio nchi pekee duniani yenye sheria ya mafuta hivyo hakuna sababu ya Msingi ukizingatia tuna wabunge na wahisani wenye nia ya kusaidia haitachukua zaidi ya miezi sita kuweka Bill bungeni nzuri ya yenye uwazi kuhusu Gas and Oil.
Link hizi hapa
http://www.bain.com/bainweb/images/LocalOffices/BNDES_Consolidated_Report_BNDES_eng.pdf
Home
Vilevile Zitto ni lazima uelewe kuanzia research mpaka production ya Oil and Gas inachukua miaka kumi na mbili hivyo ukisema tusubiri miaka kumi ina maana production ya Oil and Gas itaanza baada ya miaka ishirini na mbili!!. Serikali kwa miaka kumi ambayo search za mafuta zinaendelea inatakiwa Kujenga au kupanua barabara,bandari na kuelemisha watoto wetu wa vyuo ili waweze kufanya hizi kazi. Kuna Pipeline inatengenezwa kwa mkopo wa China lakini tunatakiwa kuweka barabara ya bandari. Hakuna ulazima wa kusubiri kama tutapata Bill ya Oil and Gas.
Kuhusu Wataalamu:
Zitto nakuhakikishia kwamba Watanzania wenye utaalamu wa Oil and Gas wako wengi sana lakini hawapo Tanzania wapo Texas, USA. Kuna Watanzania zaidi ya mia mbili hapa Houston na Dallas ambao ni wataalamu wa Oil and Gas na utashangaa walivyo wengi hapa Houston kwenye sehemu zote za Oil na Gas Production. Kuanzia kwenye Rig za majini mpaka Oil and Gas Software. Marafiki zangu wote wa Kitanzania na ndugu zangu hapa wanafanya kwenye Oil and Gas. Sasa wanasiasa badala ya kufungua matawi mngekuja na kuweka mkutano wa wataalamu wa Oil and Gas ambao ni Diaspora ungeshangaa walivyo wengi. Hawa watu wote wanaweza kurudu nyumbani kama wataheshimiwa kama wataalamu wengine wowote. Vilevile Zitto badala ya kwenye Europe kujifunza kuhusu mikataba njoo kutana na Watanzania wa Houston na uongee nao kuhusu Oil and Gas. Houston ndiyo Head Office ya kampuni za Oil and Gas Duniani.