Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Kwamba wavuta bangi Tanzania wanakadiriwa kua milioni 3.6 kati ya watanzania milioni 58, kama wako milioni 3.6 hali iko hivi inaonyesha karbu kila mtu ni mvuta bangi, je watakapofika milioni 20 hali itakuaje?
Wavuta bangi wengi Afrika wanatoka Nigeria-20M+, Tanzania ni ya 5 kua na wavuta bangi wengi.
1. Nigeria-20M.
2. Eithiopia-7M
3. Misri-5.6M
4. DRC- 4M
5. Tanzania-3.6M
6. Kenya-3.2M
7. Uganda-2.4M.
Huu ni utafiti kutoka taasisi ya New Frontier.
Hivi siku wavuta bangi wakifika milionj 10 tu si hii nchi itatumbukia shimoni.