Tanzania wasomi wanapoteza muda na MB nyingi mno kwa mambo yasiyoingiza pesa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,375
2,000
Tanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona.

Mtu anakomaa mtandaoni you tube, insta , tweeter, Badoo , Facebook, WhatsApp , SayHi na mengineyo kuangalia mambo ya hovyo yasiyohusiana na fursa au namna ya kupata pesa.

Watz wanadeal na vijembe , majungu , fitina , mauchawi , kusengenyana , kutukana nana , siasa uchwara plus upuuzi mwingine kama hii.

Badala mtu akili yake igote ni wapi anaweza kupata hata mawazo ya fursa , wapi...

So many social media groups but with stupidity inside.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,997

Wewe una kiasi gani kwenye akaunti yako ?
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,811
2,000
Tanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona.

Mtu anakomaa mtandaoni you tube, insta , tweeter, Badoo , Facebook, WhatsApp , SayHi na mengineyo kuangalia mambo ya hovyo yasiyohusiana na fursa au namna ya kupata pesa.

Watz wanadeal na vijembe , majungu , fitina , mauchawi , kusengenyana , kutukana nana , siasa uchwara plus upuuzi mwingine kama hii.

Badala mtu akili yake igote ni wapi anaweza kupata hata mawazo ya fursa , wapi...

So many social media groups but with stupidity inside.
Umesahau na baa kila siku.
 
Lagrange

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,093
2,000
Na wanao tumia freebasics unawaongeleaje

Tanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona.
Mtu anakomaa mtandaoni you tube, insta , tweeter, Badoo , Facebook, WhatsApp , SayHi na mengineyo kuangalia mambo ya hovyo yasiyohusiana na fursa au namna ya kupata pesa.
Watz wanadeal na vijembe , majungu , fitina , mauchawi , kusengenyana , kutukana nana , siasa uchwara plus upuuzi mwingine kama hii.
Badala mtu akili yake igote ni wapi anaweza kupata hata mawazo ya fursa , wapi...
So many social media groups but with stupidity inside.
 
Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,519
2,000
sasa kuna shida wapi MTU kupoteza pesa na muda wake,kwani wale marehemu ambao toka wazikwe hawajawahi hata kutoka kwenda kuoga unawazidi nini
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,797
2,000
Wewe ndiye mpuuzi wa kwanza, kama social media ni kupoteza muda wewe humu umefata nini? Ama kweli akili za jiwe siyo zake peke yake kama nilivyofikiri hapo awali, kumbe kuna wenzie kama wewe mleta mada
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom