NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 11,683
- 11,788
Hongera Tanzania kwa Suluhu.
Sasa huyu mama atauweza mziki wa Tindu & Lema
Hana muda wa kujibizana na watu kwenye mitandaoSasa huyu mama atauweza mziki wa Tindu & Lema
Wana muziki gani hao WAKIMBIZI?Sasa huyu mama atauweza mziki wa Tindu & Lema
T. Lissu ni Asset kwa Tz. JPM hakujua tu kumtumia.Sasa huyu mama atauweza mziki wa Tindu & Lema
Umefikiri sanasuluhu=sare=droo
50=50
pombe 5=suluhu 5
Ila jiwe alikuwa anakesha humu jf na Multiple IDs zakeHana muda wa kujibizana na watu kwenye mitandao