Tanzania wanajenga kwa pesa ya ndani!!! Kwa ya miaka miine wamekopa kuzidi miaka kumi ya Kikwete - Zitto Kabwe

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Watz humu kila siku wanatutambia kuwa wanajenga kila kitu kwa pesa yao ya ndani, mbunge wa Kigoma bwana Zitto Kabwe ametabainisha taarifa za deni la Tanzania, kwa miaka miine ya awamu ya tano wamekopa zaidi ya miaka kumi ya awamu ya nne ya Kikwete.

Pamoja na Tanzania kukopa kote huko lakini bado hatuwafikii Kenya hata nusu, na bado tuna sifa za kukopesheka hata maradufu ya deni tulilonalo sababu tunajimudu.
D9YLS2qXsAAehEs.png
 
Thank you for the Table. Hebu angalia hicho kidogo mshakopa ipo 34% of GDP 🤔🤔
At the same time our GDP growth is keep on widening at the pace of 7.1 percent, one of fastest in Africa but also poverty eradication acceleration is number one in Africa 😍😊👌
 
Pamoja na Tanzania kukopa kote huko lakini bado hatuwafikii Kenya hata nusu, na bado tuna sifa za kukopesheka hata maradufu ya deni tulilonalo sababu tunajimudu. View attachment 1218470

Pamoja na kukopa kote huko bado mpo LDC, hela mnatumia kufanya nini haswa, maana duh!
Haufai kujilinganisha Debt to GDP kwa kutumia mataifa yaliyokuzidi kiuchumi, jiangalie kwenye level yako, miaka miine mumekopa sana kuzidi awamu zote lakini bado mpo kwenye kundi la extremely poor nations.
Aibu ya madeni ndege zinakamatwa kamatwa hadi mumezificha zibaki ndani, mumekimbia kwa Msouth.
 
Kama wanakopa na kazi Zinaonekana mbona fresh tu,
Mbaya zaidi Huko kwenu mnakopa alafu inaliwa juu kwa juu alafu mnaenda kukopa tena ili mlipe deni lililoliwa juu kwa juu karibu lote kichekesho cha karne alafu hata hamuoni mko busy na mambo ya Tz humu.
 
Pamoja na kukopa kote huko bado mpo LDC, hela mnatumia kufanya nini haswa, maana duh!
Haufai kujilinganisha Debt to GDP kwa kutumia mataifa yaliyokuzidi kiuchumi, jiangalie kwenye level yako, miaka miine mumekopa sana kuzidi awamu zote lakini bado mpo kwenye kundi la extremely poor nations.
Aibu ya madeni ndege zinakamatwa kamatwa hadi mumezificha zibaki ndani, mumekimbia kwa Msouth.
Tanzania ni moja kati ya chumi kubwa 10 Africa, sijui hata unaongea kitu gani unavyosema kwamba tupo nyuma, kati za nchi zaidi ya 53 tupo ndani ya top 10 largest economies hilo sio dogo.

Lakini ukae ukijua Tanzania ina natural gas worth of 1.5 trillion dollars hapo sijagusa rasilimali nyingine so hata tukope vipi, Tanzania ina rasilimali lukuki, bandari yetu ya Dar zikikamilika hizo brand new 15 berths basi serikali nzima ya Tanzania itakua ikiendeshwa kwa uchumi wa bandari peke yake, resources nyingine zitatumika kwenye mambo mengine.
 
Pamoja na kukopa kote huko bado mpo LDC, hela mnatumia kufanya nini haswa, maana duh!
Haufai kujilinganisha Debt to GDP kwa kutumia mataifa yaliyokuzidi kiuchumi, jiangalie kwenye level yako, miaka miine mumekopa sana kuzidi awamu zote lakini bado mpo kwenye kundi la extremely poor nations.
Aibu ya madeni ndege zinakamatwa kamatwa hadi mumezificha zibaki ndani, mumekimbia kwa Msouth.
Huna jipya some time uwe una give up mzee
 
Kenya mpaka takwimu za latest kutoka Bank Kuu ya Kenya, mmeshakopa dollar billion 47, katika pesa za hivi karibuni mlizokopa 60% ya pesa zote za mkopo zimetafunwa na wajanja.
tbh sijawai ona ubaya wa inchi kukopa. The only bad thing ni politicians steal a huge chunk of the borrowed money and the tax payers have to pay it. Wanakopa 100 billion for something, 40 billion goes to the pockets za akina ruto
 
Back
Top Bottom