Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,834
This is the website of Kenya Ministry of ForeignUnangoja kwanini? Hahaa! Najua sasa hivi umemuongezea Profesa Google vidonda vingine vya tumbo. Foreign policy ya kueleweka huwa haibadiliki kila msimu, na wataalamu wa masuala hayo huwa wapo huru kufanya kazi yao bila kuingiliwa. Sasa Tz mtaelewa hayo kivipi wakati mnapelekwa huku na kule kulingana na yeyote yule aliye madarakani? Jana JK leo JPM. Hata kwenye bunge la E.A.C mmejaza vilaza na wateule wa mfalme. Wakati wawakilishi wa Kenya wametoka kwenye vyama vyote hadi na upinzani na walipita bunge kwanza wakafanyiwa 'vetting'. Endeleeni kuruka ruka.
http://www.mfa.go.ke/#