Tanzania wanadhani wakikandamiza majirani kibiashara eti watainuka! Nchi ovyo EAC na SADC!

Toka lini ulimuona jenerali anaenda mstari wa mbele vitani. Hakuna kiongozi anaweza kuacha Nerve Center na kweda kwenye tukio. Kenyatta amekiwa anacha kituo anaenda nje huku nyuma kina Ruto wanamwaga cash mitaani.
Hahaa! Rais U.K huwa anahudhuria vikao ambavyo vinahudhuriwa na marais wa mataifa mengine ama wakati amealikwa na marais wenzake. Waziri Monica Juma na mawaziri wenzake wana majukumu yao pia na huwa wanazuru wakimuakilisha rais.
 
We jamaa unajiaibisha kweli.
 
Najaibisha kwako, kwani wewe ndiye hediboi wa Jf? Mzee, mimi nangoja uendelee kutuelimisha kuhusu foreign police.
Asante sana kwa ku-admit kuwa wewe ni mjinga. Nitaendelea kukuelimisha hadi ujinga wako uishe.
Kenya is a capitalist country but Tanzania is The Socialist Nation.
Mnaenda China kufanya nini? kabla ya kwenda China rais wenu anaenda kwa BOSS weni Trump. Wake up kijana. Kenya haijielewi haijui inataka nini kenye International affairs
 
Sawa mzee, nimekuelewa.
 
Uhuru Kenyatta Lazima aende marekani kupeleka ripoti kwa boss wake,
Ila hawa wakenya ujue their reasoning is inconsequential,
Sasa wanajisahau kuwa wao ni Vibaraka Wa marekani na washirika wao akiwemo UK, wanataka kushirikiana na China na hata Russia, si ni Vikaragosi hawa eti???
Ndio maana mchina ile reli amejenga Tz miaka ya 1970's amejenga Kenya 2018,
Kamwe mchina hawezi mchekea mkenya, China na Kenya Wapi na Wapi?
 
Kumbe ni maksudi kabisa china amewafanya vibaya wakenya!!!!
 
Kabisa, Tatizo la hawa majirani ujuaji mwingi wakati vichwani Content ndogo sana,
Hawajui kuwa Nyerere ndiye aliwaleta wachina Africa for the first time,

Mradi wa Kwanza mkubwa Africa uliojengwa na China ni Reli ya Tazara,

Mapokezi ya Nyerere Nchini China yalikuwa ni makubwa na Ya kihistoria ( angalieni YouTube)
Ila Hawa Vilaza hata nchi yao hata Sera ya nje haieleweki, nchi haina msimamo, yaani wapo wapo tu, kama vile machizi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom