MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,262
- 1,220
huwa wanaenda ila Mara nyingi hawafanikiwi kwa sababu ya ulinzi mkaliAfrica kuna shida kubwa sn, kwanini Al-Shabaab hawaendi Ulaya na Marekani?
huwa wanaenda ila Mara nyingi hawafanikiwi kwa sababu ya ulinzi mkaliAfrica kuna shida kubwa sn, kwanini Al-Shabaab hawaendi Ulaya na Marekani?
Nimeona Wareno na Wafaransa wanatuma wanatuma Askari.Mbona hawaendi Uarabuni?
Hawashindwi, nafikiri ni issue ya muda tu.Tanzania ni moja ya Nchi iliyowekeza ulinzi wa kutosha maporini huko siku ukizunguka mpakani maporini utakutana nao...
Bado ni fikra za kiumaskini tu!!Exactly, tatizo lipo kwenye rasilimali za nchi kuliwa na wachache na wengi kubaki mafukara so mwisho wa siku wanaamua kujitoa mhanga.
Waende Saudia wakanyongwe kwa mujibu wa Sheria?Africa kuna shida kubwa sn, kwanini Al-Shabaab hawaendi Ulaya na Marekani?
Jamaa wabinafsi na wabaguzi mno, kila mmoja abebe mzigo wake, warudishwe walipotoka.... mnakumbuka miaka ya nyuma watanzania walivyouliwa Msumbiji? Nina jaama yangu mmoja naye alikumbwa na kadhia hiyo; alifia huko. Ifike mahali ile huruma ya kuwapokea wageni tuseme basi; toka enzi za ukombozi wakivurugana wanakimbilia Tanzania; tuseme basi. Ya kwetu wenyewe yanatushinda, kila mtu abaki kwao kama ni exchange ziwe biashara sio watu.
kwa sababu wakienda huko watakua ni kama wanajipiga wenyewe. huwezi jivamia mwenyeweAfrica kuna shida kubwa sn, kwanini Al-Shabaab hawaendi Ulaya na Marekani?
Halafu mnalilia AFRICA IUANGANE NA NYIMBO ZENU ZA AFRICA NI MOJA!Kuna taarifa kuwa wakimbizi kutoka Msumbiji wanaokimbia kile kinachoitwa wanamgambo wa Alshabaab wamerudishwa walikotoka ili wasiingie nchini. Tayari umoja wa maataifa umeilaumu Tanzania kwa hatua yake hiyo...
Asilimia kubwa hayakosi makundi ya waislamu. Na Wana waua waislamu wenzaoKuna taarifa kuwa wakimbizi kutoka Msumbiji wanaokimbia kile kinachoitwa wanamgambo wa Alshabaab wamerudishwa walikotoka ili wasiingie nchini. Tayari umoja wa maataifa umeilaumu Tanzania kwa hatua yake hiyo...
Heeeh unaishi wapi mzee? Mizozo na mapigano ya waarabu huko huisikii!!.?Mbona hawaendi Uarabuni?
Yani mtu mweusi ndani ya bara lake la Afrika anaitwa mkimbizi wakati Afrika ni moja tuu aisee dah....
She is in over her head, weak and light weight.Madame President Samia Suluhu Hassan. Stay STRONG.
Wewe na akili zako ndio uliamini porojo hizo.Kwani si kuna jeshi la Msumbiji na wareno pia wameshafika.Walipita wapi na silaha walipewa na nani?.Muhimu huku kwetu tusiruhusu ujinga huo.Tuwe mfano kwa Afrika kwamba matatizo tusiyoyataka yafike kwetu tuna uwezo wa kuyazuia yabaki huko huko yatokako.Hawa waasi kabla ya kuanzisha shambulio hili la juzi walifika wiki kadhaa nyuma wakafikia kwenye nyumba za wenyeji wakahifadhiwa humo na silaha zao siku walipoanzisha mashambulizi walianzisha pemben ya mji na katikati ya mji ikawa vigumu kwa askari wa msumbiji kuwacontain waasi.
Jambo fikirishi; tunapopokea hawa wakimbizi tujue pia tunapokea washirika wa waasi kwenye mwamvuli wa ukimbizi.